Nimekuwa Senior Member ndani ya siku 10

Nimekuwa Senior Member ndani ya siku 10

Wewe ni expert member hicho cheo umeshakivuka.. NEW MEMBER>>Junior Member>>Senior Member>>JF EXPERT MEMBER

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Kuna watu ni staff members kama miss chagga Na shunie mshana Jr wao ni wafanyakaz Wa jf?

DJ sepetu
 
Nashukuru sana wakuu kwa mchango wenu, nimejiunga JF tarehe 30/08/2017 Leo hii nimekuwa Senior member kutoka kwenye Member...na Niko mbioni kupewa U-expert member
0c5a459f4cddf93eeaa87aee01c2cfed.jpg
fanya sasa uwe gold member au platnum member
 
Back
Top Bottom