Nimekuwa Senior Member ndani ya siku 10

Nimekuwa Senior Member ndani ya siku 10

Naweka bando kwa ela yako, so mind ur business.
hahahah unamaindi nini ilhali sijakutusi wala kukusema vibaya?
kwani kuwa na muda mwingi wa kuingia huku ni vibaya? si ni heri kushinda huku kuliko IG...punguza hasira boss
 
hahahah unamaindi nini ilhali sijakutusi wala kukusema vibaya?
kwani kuwa na muda mwingi wa kuingia huku ni vibaya? si ni heri kushinda huku kuliko IG...punguza hasira boss
Hahaha mkuu nisamehe kuna babu anaitwa Lemutuz kaniharibia siku
 
Nashukuru sana wakuu kwa mchango wenu, nimejiunga JF tarehe 30/08/2017 Leo hii nimekuwa Senior member kutoka kwenye Member...na Niko mbioni kupewa U-expert member
0c5a459f4cddf93eeaa87aee01c2cfed.jpg

Mwenzako nilikuwa JF Expert Member ndani ya Siku tatu ( 3 ) tu hadi nikajishangaa.
 
Back
Top Bottom