Nimekuwa na hasira sana mtu akiniomba pesa

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Apr 25, 2023
462
974
Hii hali imeanza ghafla tu yani nikipigiwa hata simu tu mtu akawa na shida ya pesa namwambia Sina hata kama ninayo afu najaa jazba ghafra tu yani huyo mtu mpaka na block.

Kitu cha ajabu zaidi nikiwa kijiweni naombwa sana pesa hata kama tupo kumi basi kama mtu anashida ya pesa ananiomba mm utaskia oya chakula cha watoto eeeh una buku apo la karibu? Nikisema Sina hataki kuwaomba wengine Kati ndomarafiki zake kuliko mimi.

Saa hizi hata awe nani akisema tu anaomba pesa au anakopa kwangu anapigwa tofali la udongo maana haiwezekani mimi nikiwa Sina pesa yani nitahangaika wakunisaidia ila Hola Sasa hii hali imenifanya kuwa na moyo wa chuma
 
Hii hali imeanza ghafra tu yani nikipigiwa hata simu tu mtu akawa na shida ya pesa namwambia Sina hata kama ninayo afu najaa jazba ghafra tu yani huyo mtu mpka na block

Kitu cha ajabu zaidi nikiwa kijiweni naombwa sana pesa hata kama tupo kumi basi kama mtu anashida ya pesa ananiomba mm utaskia oya chakula cha watoto eeeh una buku apo la karibu? Nikisema Sina hataki kuwaomba wengine Kati ndomarafiki zake kuliko mm.

Saizii hata awe Nani akisema tu anaomba pesa au anakopa kwangu anapigwa tofali la udongo maana haiwezekani mm nikiwa Sina pesa yani nitahangaika wakunisaidia ila Hola Sasa hii hali imenifanya kuwa na moyo wa chuma
Una undugu na mr pipa
 
Wanakuona wewe ng'ombe/bwege, na haupo miongoni mwao.

Na usitarajie watakuja kukusaidia hata mara moja.
 
Itakuwa ulipitia au unapitia mdororo wa kifedha. Na hakuna anaesaidia au aliwah saidia. Hii tunaita uhalisi wa maisha na kufunguka kiakili sasa
 
Back
Top Bottom