1. Kujipanga (diverse/varried interpretations)Hamna manzi asiye na mtu!
Inategemea umejipangaje tu na una potential kiasi gani😂
Hamna manzi asiye na mtu!
Inategemea umejipangaje tu na una potential kiasi gani
Speaking of mizinga hata mimi naziogopa baadhi ya namba asee. Ni balaa utapewa invoice ndani ya siku moja.Wenzako hizo namba tunazikimbia...
Kupewa namba ni suala moja, kupokea simu yako ni suala jingine, alafu kuna mizinga hilo ni suala jingine kabisa.
Speaking of mizinga hata mimi naziogopa baadhi ya namba asee. Ni balaa utapewa invoice ndani ya siku moja.
Kama hajakuelewa basi tena.Hamna manzi asiye na mtu!
Inategemea umejipangaje tu na una potential kiasi gani
Wewe ni maskini huna pesa. Tafuta pesa kijana acha kupoteza muda.Vp guyz...
Nina tatizo ambalo sijui ni kwanini lina nikumba.. kila nikimuona manzi nahisi kama ana mtu yani najikuta muoga kuomba namba.. coz nipo kwnye process za kitafuta mchumba ila kujiamini kwangu kumepotea kabisaa yan!?
Nipeni uzoefu wenu wanaJF