Nimekuwa muoga kuomba namba kwa wasichana

Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
798
738
Vp guyz...

Nina tatizo ambalo sijui ni kwanini lina nikumba.. kila nikimuona manzi nahisi kama ana mtu yani najikuta muoga kuomba namba.. coz nipo kwnye process za kutafuta mchumba ila kujiamini kwangu kumepotea kabisaa yaan!?

Nipeni uzoefu wenu wanaJF
 
Shida umetembeza kwa wake za watu, sasa unataka wako wa peke yako na saikolojia yako ishaharibika.
 
Vp guyz...

Nina tatizo ambalo sijui ni kwanini lina nikumba.. kila nikimuona manzi nahisi kama ana mtu yani najikuta muoga kuomba namba.. coz nipo kwnye process za kitafuta mchumba ila kujiamini kwangu kumepotea kabisaa yan!?

Nipeni uzoefu wenu wanaJF
Wewe ni maskini huna pesa. Tafuta pesa kijana acha kupoteza muda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom