Nimekutana na Shoga FB

afadhali wataalam wakuchakachua nyuzi mmeingia hapa...endeleeni ku-dilute iyo mada.
 
No matter katoka wapi na nani kufanya nn ili mradi he loves me i love him inatosha,as long as pasword ya utamun nnayo mwenyewe ctaki kuambiwa alikotoka coz aliniaga alipokua anaenda!vp wifi yangu hajambo lkn?

SL kamnunia hapo anazuga kwa yasiyomhusu
 
Haya mapenzi ni balaa binti Mtambuzi inaonekana umefundwa kisawasawa

Haswaaa!namshukuru dada yangu wa ukweli ashadii mautundu alonifunda ili nimpagawishe rejao wangu lol!
 
afadhali wataalam wakuchakachua nyuzi mmeingia hapa...endeleeni ku-dilute iyo mada.

Hee hee!ukituonea mwenye sred mwambie tunaisogeza sogeza atatukuta pg za mbele huko!
 

ayaaaa ahaaaaaa mboni umemkatisha aiseee ungeweka na snap zake jamvini ili ukimuona tu ujue nini mtaifanya...
 
Hee hee!ukituonea mwenye sred mwambie tunaisogeza sogeza atatukuta pg za mbele huko!

atafurahi mwenyewe...akisoma humo ndani hakuna kitu watu,watu wanapeana michapo tafautii...nomaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…