Nimekutana na Shoga FB

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,252
Reaction score
10,248
"Nafungua Facebook account yangu, nakuta kuna notification ya friendship request kutoka kwa mtu nisiyemfahamu (Male), nacheck kuna kama common friend 10 hv kati yangu na yeye, naamua ku accept friendship request yake, after 3-4 days kila nikiwa online ananitumia message as if tunafahamiana, najaribu ku distance kidogo kwa kumpiga maswali ya hapa na pale,jana kaja na mpya,ananiuliza naishi na nani na kama nimeoa, namuuliza kiutani "You wanna offer me a chick?", ana jibu "I wanna offer you me".
Namuuliza "Are you a girl a boy?" ananijibu "Teh teh, am a boy, cant you see my pictures".
Namjibu "Why now u said you wanna offer me you ?"
Anajibu, "I am a gay"
Namuuliza "When did you started and why?"
anajibu "Last year, i met with Muzungu, and he is the one started ****ing... me"
Namjibu, "Shiiiit, did he rape you, how old are you?"
Anajibu "I am 19 yrs old, he didnt rape me, i like men since long time"
Namjibu "Okai, so what do u want from me?"

Anajibu " If you dont mind, let you **** me "
Namjibu, "I dont use that, goodbye"
Then nika mdelete on my friendlist
kisha nikajiburuduisha na Hip hop ya Zamani ( Bongo flavour ) GWM feat Mr2 Sugu----Yamenikuta
 
why you not other...and u have common friend with him????????????????????
 
pole sana.

Bado sielewi kwa nini gay anatongoza kupitia FB wakati kuna sites zingine. FB is for friends and gossip
.
 
wapo wengi sana,na wanasumbuga sana-chakuwasaidia ni kuwa-unfriend tu
 
hw about 10mutual friends...
...inabidi kuchek iyo circle asee...
 
19yrz halafu sio riziki? inasikitisha sana! sijui nani atakinusuru kizazi hiki.
 
Tangu nimehamia jf nimeachana fb kbs na nimeepuka mengi naburudika na kuendelea kuelimika huku jf!pole mwaya!
 
Hivi unajua rejao katoka wapi leo?

No matter katoka wapi na nani kufanya nn ili mradi he loves me i love him inatosha,as long as pasword ya utamun nnayo mwenyewe ctaki kuambiwa alikotoka coz aliniaga alipokua anaenda!vp wifi yangu hajambo lkn?
 
No matter katoka wapi na nani kufanya nn ili mradi he loves me i love him inatosha,as long as pasword ya utamun nnayo mwenyewe ctaki kuambiwa alikotoka coz aliniaga alipokua anaenda!vp wifi yangu hajambo lkn?

Wifi yako sijaonana nae maana ndio naenda nyumbani sasa hivi nilikuwa safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…