Nimekutana na moja ya CV nzito sana ya Mwanamke msomi.

Dah! nimekubal Cv yake ngoja tuone na Mhandisi wetu wa TMA mwenye Cv yake atupe tuCompare nafkir kuna haja ya kujifunza kitu hasa kwa sisi Wanawake. There shall be Motive behind the success in Professionalism
excellent,
you are the first woman to come up with a positive view about her academic success.this is exactly what i was looking for.

baadhi ya wadada wamekuja na mitazamo hasi sana. kuna mmoja amedai eti kazi yenu kubwa ni kuzaa na kulea watoto. nikashangaa sana.
 
kwani kuna shida gani mke wangu akinambia FUA..nafua tu akinambia PIKA napika tuu akinambia OSHA VYOMBO naosha tu ila asininyime papuchi.

Na akinipa hiyo huko ndio atakapojua mimi ni mwanaume au mwanamke maana Namimi nitamuoshesha vyombo,ntamfulisha yani in ONE NIGHT atajua uanaume wangu.
 
Kuna dada mmoja tulivyokua shule nilisemaga huyu hadi nimshushe no 1...niliokoka nikamrudia MUNGU maombi ya UKWATA nimo,CASFETA nimo YANI utanikosa wapi mimi...

Nilimfungia kwenye maombi...na hiyo haitoshi ratiba ya kulala ilibadilika nilikua nalala usiku saa 7-11 naamka naenda class....Remidial Class nkawa sikosi, nilikua siulizagi maswali class ila nikawa nauliza maswali yani nilijitosa ipasavyo

Matokeo yake pepa likaja wakwanza ni YULE MANZI aseee nikaamini hizi akili zina wenyewe...nikarudi kwenye maisha yangu ka ku dodge kwenda prepo,remidial,church,nk

Sasa nyie wadada muigeni/mfatisheni mwenzenu huyo muone
 
Na kingine jamani akina dada hamna cha motivational hapa wala nini,sazingine mkubaliane na uwezo Mungu alio wapa maana Katika akili kuna watu wana akili ni ma genius in nature sasa Nyie jitieni mmeshikwa na hasira mka apply vyuo..nawambia this time around mna DISCO wote maana SUP hazikuwatosha.

Usitutishe.
 
Back
Top Bottom