Nimekutana na mama kwenye daladala anatumia JamiiForums

Status
Not open for further replies.
Toka lini jf ni siri. Mimi toka niko kwa wazazi back then 2012 nyumba nzima tunatumia jf.
Chuo watu wengi wa karibu yangu walikua wanatumia jf. Aisee jf ni siri kwani. Au kijana unatumiaje jf.

Hii ndio sehemu pekee unaweza tumia ukiwa kwenye daladala. Ukitaka utulivu. WhatsApp na instagram ndio kificho. Maana dakika moja. Tako hlo.
 
Mmh tunatofautiana asee
 
Heading ni bodaboda, content ni daladala.
Ndio maana Samia anatawala wakati alipaswa awe mtendaji wa kijiji
 
JF Huwezi Kuitumia Gizani Maana Siyo Magendo Unatakiwa Kuwa
We Dare To Talk Open
 
Yaani kutumiaka jf unapelekwa mahakmani mm situmiagi kwa kujificha popote pale



Jusi nilikuwa naenda ihumwa nilipanda dalalala Moja dada mam mtu mzimaa alikuwa anaperuzi nyuzi zake mdg mdg na kukoment na kuweka like
Nilikuwa namshanga kujifanya sijui kitu kumbe mm ni member mwendamizi
 
Ww ni mshamba sana kwahyo umeona jf ni siri sana mpka mtu ajifiche akitumia acha watu wawe huru ndio maana jf wamasema where we dare to....... Kama unajificha ni ww mbona watu wanapewa hadi tuzo au nazo wanajificha
Acha ushamba mnyasa mmoja
 
Washamba wako wengi mkuu ogopa sana mtu anaepanda daladala anajua imejaa anakubali kusimama
 
Mm jf nilijiunga pale Arusha matako bar nikikuwa naudumiwa Kisha pombe Kisha akaja muhudumu Ana simu ndio nikaona anasoma soma siasa kiipind Cha 2015 ndipo na mm nikawa member from then
 
Mwanzoni nilikua najificha sana juu ya utumizi wangu wa JF, ila tangu nipate tuzo na zawadi zenye utambulisho wa JF natumia popote tyuuh.

Kuna zawadi natumia na kila mtu anaona, huhuhuh
Ko wanajua tyuuh mie ni member wa JF.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…