Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
Huyu shemeji yako anajua mshahara wangu mdogo na yeye kunihudumia hataki. Anasubiri nipendeze aanze wow wow zake. Namuomba tu. Kama hataki nikatafute nje.
Muache wakunyumba bwana
 
Kwani wakunyumba kuomba pesa kwa mpenzi wako na huna lengo la kumkomoa ni mmomonyoko wa maadili?
Hahaha aisee " naona mada imesha change watu mmeona hilo tu lakutoombwa pesa... hivi mtu akisema jamii fulani ina mmong'onyoko wa maadili wewe unaelewa nini !!?
 
Hahaha zama deep uelewe mantiki ya heading Kwanzaa"

Kama anajua kuwa sina hela then still ananionyesha upendo wa kiwango cha lami " Basi huo ndio umalaika wenyewe mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kufake km kote!sidhan ..naudhika mnavyogeneralize kuwa wanawake wanawapiga mizinga...sio kweli ht kidg..kuna watu wazito sana kuomba omba hela mkuu
Kwakweli ndio najionea sasa ..hao waliopo wanapaswa kutunzwa na serikali haraka Sana kabla hawajatoweka
 
Wakati ni mwalimu, OA kisha rudi baada ya mwaka, utakelwa tu hata kwa kuhisiwa wakati haupo uko
Ni hivi " mtu/ watu wana stahiki kusifiwa pale wanapotenda jema/ mema " hii huchangia kuwapa hamasa ya kufanya vizuri zaidi na wengine kuwaiga ...

Na pia mtu/watu wanapokosea wanapaswa kukosolewa ili waweze kuyatambua madhaifu yao " na iwe nafasi yao kujirekebisha .... so akikosea nitamueleza pia .

Karibu tujadili kwa kina mkuu
 
Binafsi huwa nashangaa mwanaume kulalamika.

Kama wewe ndiye ulimtongoza mwanamke na unampa huduma sasa ukiskia kaharufu tu kakukusaliti si unapiga chini?

Labda mke ndiyo kazi kupiga chini kijinga jinga.
@daby kuna sehemu yeyote niliyo lalamika mkuu "...!!! Acha visa
 
Sio umalaika anakupenda anakua anaomba wenzio. Nina rafiki yangu alikua na bf. Hajawahi muomba hata 100. akienda kufungasha mzigo wake anamnunulia bf kila kitu. Mpaka kodi ya bf anamsaidia. Bf akilia shida dakika yoyote kama hana atakopa ampe na hamdai. Kumpa bwana ake hata 1M alikua hajali. Anampa bf wake gari yake yeye anapanda tax siku nyingine. Lakini vitu ambavyo bf alikua hafanyi vya kipesa walikua wanafanya wenzie. Sasa kama anakucheat asikufanye ujisikie vibaya sababu huna cha kuoffer zaidi ya dyudyu sijui tuendelee kumuita malaika? Kama mwanamke wako mhangaikaji kama kina sie na hakuombi hela jua kabisa wapo wenzio wanatoa wanyumbani. Kuna muda ana shida hata na elfu 2 ilaa anajua huna hakuombi.
Hahaha zama deep uelewe mantiki ya heading Kwanzaa"

Kama anajua kuwa sina hela then still ananionyesha upendo wa kiwango cha lami " Basi huo ndio umalaika wenyewe mkuu
 
Unauzoefu gani katika kuwafahamu wanawake......?
Sina uzoefu wowote mkuu " ndio kwanza nimetoka sitimbi kuja town mwezi uliopita ..nime mfuata baby mama " dar
 
Aaamin aamin mtumishi " maneno adhimu kabisa haya " nitazingatia huu ushauri ngoja niuhifadhi katika diary kabisa aisee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…