Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
ungejaribu kuoa baada ya miaka mitatu kama amemaintain hyo standard ndio ungeleta uzi wako hapa. acting zipo sana mzee
 
Hahaa shunie hana data zozote unamuonea tu .. aisee jina lake nimelificha kama Ufunguo wa pepo
2019 angalia tusipigane bunduki/visu tu!.. usije kuwa unasifia tulipoweka mioyo yetu wengine!..
 
Wanafikiri tunapoomba ni kazi ndogo, tumejitoa kweli. Wasioomba wanaugulia tu kimya kimya ila wanataka na ukiwapa hawakatai. Hivyo wawe wanajiongeza tu.

Kusali au kuomba is the most stupidest thing ever!

There is no need to do that at all....

Instead of going to church to pray ni heri uende gym ukajenge mwili.....

Is the wastage of time and does not make any sense whatsoever!

Yaani God ambae mnadai ni know-it-all,ambae alikwishapangilia kila kitu tangu alipoumba dunia,wewe kwa your selfish reasons unaenda kumuomba abadili mawazo kufata your selfish requirements?

And by laws of probability and occurances,kama una matatizo 10,ukienda kuomba huko upumbavuni sijui kanisani or msikitini or whatever the f.uck,outcome ni kwamba matatizo yote 10 hayawezi kuisha kwa 100%,ni mawili matatu yanawezapata suluhisho tena kwa pure coincidence no divine intervention whatsoever!

Prayers au kusali ni for very very stupid people!
 
Huwezi kuwasoma wanawake wewe na usijivune kabisa unaweza kuja unalia lia humu tena

Mwanamke kama hakuombi wewe yupo anayemuomba amin hilo lipo

Nilikuwa na mazoea na binti mmoja alikuwa anaomba mtaani hadi kero lkn hawala yake alikuwa hajawahi kumwomba pesa siku hata moja . alikuwa akimganda MTU mpaka ampe na akimpa anamhonga jamaa kabisa na alikuja akapigwa mimba kwa ajiri ya kuomba omba pesa

Usijihakikishie yawezekana wanaopigwa wapo na wala huwajui na hutawajua kwa kuwa akili yako imeshasizi
 
Hahaha ... karibu chief ..daahh huyo jamaa akiiona hii reply atapasuka
 
Chakarika Mkuu before it is too late. MUJINI waporaji wengi.


 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…