Nimekutana na malaika

Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
Huwezi kuwasoma wanawake wewe na usijivune kabisa unaweza kuja unalia lia humu tena

Mwanamke kama hakuombi wewe yupo anayemuomba amin hilo lipo

Nilikuwa na mazoea na binti mmoja alikuwa anaomba mtaani hadi kero lkn hawala yake alikuwa hajawahi kumwomba pesa siku hata moja . alikuwa akimganda MTU mpaka ampe na akimpa anamhonga jamaa kabisa na alikuja akapigwa mimba kwa ajiri ya kuomba omba pesa

Usijihakikishie yawezekana wanaopigwa wapo na wala huwajui na hutawajua kwa kuwa akili yako imeshasizi
Acha mihemko aisee " tulia usome post vyema uielewe ... sipo kwaajili ya kusema kwamba mpenzi wangu hato ni saliti ... bali nipo hapa kwaajili ya kumsifu kutokana na tabia yake njema ..

Kwa sisi watu wenye busara ni wito kwetu kutoa shukurani kwaajili ya kumpa hamasa mtu aliyefanya vizuri kwaajili ya kuendelea kufanya vizuri zaidi na pia kuutumia mfano wa yeye kuwa inspired watu wengine waweze kuuiga mfano wake upo ... pia huwa tunatoa ushauri pale tunapo ona mtu fulani anatenda mambo au jambo ambalo halistahiki kuwepo katika maadili ... hapa namaanisha kwamba siku ikitokea akakosea basi nita mshauri pia ili aweze kurudi katika mstari ...

Karibu jamvini
 
Chakarika Mkuu before it is too late. MUJINI waporaji wengi.

Asante mkuu " nitazidi kuchakarika aisee "

BTW nampenda sana lady gaga haukukosea kumleta hapa nimsikie..anajua Sana kuimba huyo kiumbe ...

Nazipenda sana ' wimbo zake za Alejandro .born this way .poker face .bad romance .

Kuna ile aliyofanya na R.Kelly(do what you want ) huwa inanimaliza kabisa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
She is also very beautiful akiamua kupendeza ni kitu hasa ila hakawii kuvaa nguo zake za ajabu ajabu na kuonekana kituko.

Hahaa amevurugwa sana yule Aise
 
  • Thanks
Reactions: BAK
2019 angalia tusipigane bunduki/visu tu!.. usije kuwa unasifia tulipoweka mioyo yetu wengine!..
Haha haa " tulia tu kuwa mpole" Mkuki kwa nguruwe ...............
 
all in all gudluck on ya journey mzee!.. nasubiri card n' iwe real quick basi🙂
So what if akiwa ni baby mama wako " ... hautokuja kunipiga ngumi kweli wewe !!?

Nadhani huo ugomvi utaamuliwa na uncle Malcom Lumumba ... Castr hatothubutu hata kunigombelezea maana huwa anasubiri kwa hamu ni chapike " kwa sababu akili yake huwa ina mdanganya kwamba huwa namfanyia kauzibe kwa ma bebez wake
 
Subiri tu utakapokuja na uzi
"Mpenzi wangu amebadilika simuelewi kabisa mwanzo hakuwa hivi"
 
Hahaa wewe mgeni na mimi humu " hilo haliwezi kutokea Aise ..
Mimi nimeingia 2015 we 2014 mgeni kivipi? Mwaka tu,subiri tu utakapokuja kuuliza sumu wanauza wapi huku kamasi zinakutoka
 
So what if akiwa ni baby mama wako " ... hautokuja kunipiga ngumi kweli wewe !!?
Nadhani huo ugomvi utaamuliwa na uncle Malcom Lumumba ... Castr hatothubutu hata kunigombelezea maana huwa anasubiri kwa hamu ni chapike " kwa sababu akili yake huwa ina mdanganya kwamba huwa namfanyia kauzibe kwa ma bebez wake
kuchapiwa ni kesi ingine ujue!.. hao wote wanaweza wasiimalize kesi!..
 
Usiniambie ..haa haa .. kwa hiyo utabadilika na kuwa mbogo ..hivi ile pistol yako ulishairudisha lugalo ... Maana usije kuifanyia majaribio mwilini mwangu
 
Kusali au kuomba is the most stupidest thing ever!

There is no need to do that at all....

Instead of going to church to pray ni heri uende gym ukajenge mwili.....

Is the wastage of time and does not make any sense whatsoever!

Yaani God ambae mnadai ni know-it-all,ambae alikwishapangilia kila kitu tangu alipoumba dunia,wewe kwa your selfish reasons unaenda kumuomba abadili mawazo kufata your selfish requirements?

And by laws of probability and occurances,kama una matatizo 10,ukienda kuomba huko upumbavuni sijui kanisani or msikitini or whatever the f.uck,outcome ni kwamba matatizo yote 10 hayawezi kuisha kwa 100%,ni mawili matatu yanawezapata suluhisho tena kwa pure coincidence no divine intervention whatsoever!

Prayers au kusali ni for very very stupid people!
hii nayo ni aina ya stress au!!!!😱
 
hii nayo ni aina ya stress au!!!!

Yaani kama unashindwa kuangalia mchango wa mtu kwa hoja alizotoa unaishia kumuita maneno personal yasiyogusa hoja zake basi mwenye tatizo ni wewe wala sio yeye!

Itakua uneshindwa kumuelewa,ambapo ungemuuliza akueleweshe....Ila umeelewa sema unafiki umekujaa umeamua kunishambulia personally na sio kushambulia hoja zangu!

Na hii inazidi ku-prove hasa ni kwanini nyie watu wenye dini mlivyo hatari kwa viumbe wengine duniani....

Lets assume nina stress,kuna shida gani kwani?Mimi ni mnyama stress ni normal phenomenon sasa sijui ulitaka mawe ndio yawe na stress?

Na i wonder sijui umegeuka mganga kupima watu online kua wana stress au hawana stress kwa kuangalia tu maandishi yao conclusively!Yeah,well,you are such a powerful individual aisee,good for you!

Mmejaa hatred kwa watu wengine wasioamini mambo yenu...Mnajiona nyie ndio nyie sisi wengine wote mavi...Hii ni byproduct ya kuaminishwa you guys are the only shit on earth!

Dini ni uchawi kama ulivyo uchawi mwingine wowote difference ni kwamba nyie mnaufanya mchana kama hivi ufanyavo!
 
Hahaa
 
Mimi nimeingia 2015 we 2014 mgeni kivipi? Mwaka tu,subiri tu utakapokuja kuuliza sumu wanauza wapi huku kamasi zinakutoka
Haha ..sawa " andaa sumu za kutosha ..nataka huo wakati ukifika uwe wakwanza kuniuzia ... halafu kufa ni party tusiyoweza kuikwepa ... nikifa nitakuwa sijapoteza kitu maana nitakuwa nimerudi kule nilipotoka ... kwanza nimezaliwa bila kushirikishwa haukuwa mpango wangu kuja duniani "... so sioni tatizo la mimi kufikwa na umauti
 
Yaani kama unashindwa kuangalia mchango wa mtu kwa hoja alizotoa unaishia kumuita maneno personal yasiyogusa hoja zake basi mwenye tatizo ni wewe wala sio yeye!

Itakua uneshindwa kumuelewa,ambapo ungemuuliza akueleweshe....Ila umeelewa sema unafiki umekujaa umeamua kunishambulia personally na sio kushambulia hoja zangu!

Na hii inazidi ku-prove hasa ni kwanini nyie watu wenye dini mlivyo hatari kwa viumbe wengine duniani....

Lets assume nina stress,kuna shida gani kwani?Mimi ni mnyama stress ni normal phenomenon sasa sijui ulitaka mawe ndio yawe na stress?

Na i wonder sijui umegeuka mganga kupima watu online kua wana stress au hawana stress kwa kuangalia tu maandishi yao conclusively!Yeah,well,you are such a powerful individual aisee,good for you!

Mmejaa hatred kwa watu wengine wasioamini mambo yenu...Mnajiona nyie ndio nyie sisi wengine wote mavi...Hii ni byproduct ya kuaminishwa you guys are the only shit on earth!

Dini ni uchawi kama ulivyo uchawi mwingine wowote difference ni kwamba nyie mnaufanya mchana kama hivi ufanyavo!
usiku mwema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom