Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
Anakusogeza tu we ingia ndo utajua hujakutana na malaika Bali mjusi
 
Big up! eti malaika? Malaika???? Yatamtokea puani huyo!
 
Huyo wa indirect mimi kabisa. Hahahaaa
 
Angalia mkuu! Wame badili technique. Sasq wanajua wasipo omba hela ndo tunatoa zaidi. Angalia vizuri mkuu usije kuja kulia hapa jukwaani.
 
Angalia mkuu! Wame badili technique. Sasq wanajua wasipo omba hela ndo tunatoa zaidi. Angalia vizuri mkuu usije kuja kulia hapa jukwaani.
Hahaha " kulia patakuwa patakuwa ni sehemu ya kujifunza mkuu hatupaswi kuogopa kupanda geri " kwaajili ya hofu ya kupata ajali
..
Maisha nilazima yaendelee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…