Safi sana kumbe na wewe " unaye malaika wako "... Ubarikiwe " Asante kwa pongezi pia "Uko vizuri Mkuu, ila wanawake wa aina hii huwa wanaudhaif flan wa ndani, sometimes inaweza pelekea kua out of mood, kitu muhim ni kujitahid kua mvumilivu juu yake na kulazimika kufanana nae ktk baadhi ya mambo ila mwende sawa.
Hii ni kwauzoefu wangu lakini..!!
Labda anasubilia karibu na x-mas ili ukiomba tena akwambie pesa yote nimekupa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimemuomba oct...anajuaga muda wote ninahela [emoji23]mxiew
HahaaLabda anasubilia karibu na x-mas ili ukiomba tena akwambie pesa yote nimekupa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa " hapana mkuu " tumuite malaika tu inatosha '' hana hiyo sifa uliyompa ningelisha mkimbia kitambo sanaHuyo atakuwa transgender.
Wanawake wote wanaomba hela wanatofautiana kwenye namna ya uombaji tu kuna wale wanaomba direct na wale wanao omba indirect[emoji23][emoji23][emoji23]kufake km kote!sidhan ..naudhika mnavyogeneralize kuwa wanawake wanawapiga mizinga...sio kweli ht kidg..kuna watu wazito sana kuomba omba hela mkuu
Labda anasubilia karibu na x-mas ili ukiomba tena akwambie pesa yote nimekupa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😐😐😚[emoji57][emoji57][emoji57][emoji134]
Tafadhali rafiki! Nitakuzukia bila hiyana ujuwe...Karibu sana[emoji39][emoji39][emoji39]
Unamdhulumu mwenzio muda huu unarandaranda humu unatafuta niniTafadhali rafiki! Nitakuzukia bila hiyana ujuwe...
Daah " Hamlali " !!?Unamdhulumu mwenzio muda huu unarandaranda humu unatafuta nini
Au mmeshapewa vyumba humu.!?Unamdhulumu mwenzio muda huu unarandaranda humu unatafuta nini
We mbona hulaliDaah " Hamlali " !!?
Mimi " nataka kuwasaidia kuzima Taa "We mbona hulali
Hahaha [emoji23] best mda wa kurilaksi kabla ya kufumba macho huu bwana...Unamdhulumu mwenzio muda huu unarandaranda humu unatafuta nini
Hahaha [emoji23] best mda wa kurilaksi kabla ya kufumba macho huu bwana...
Karibu sana rafiki.Tafadhali rafiki! Nitakuzukia bila hiyana ujuwe...
Duh!! Nipatie namba zao wote hao mkuu" ...nataka kuwapa dea la biashara _Utasifiwa na wanawake woteeee humu, asili ya mwanaume ni kutoridhika View attachment 956274