Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

Anazo? Hii moja kwanza imepigwa kimagumashi kweli kweli. Sijui ni kwa nini. Joka kubwa kama hili asipige picha nyingi lionekane lote?
Inawezeka hapo wamejikaza sana kilishika😂😂😂 kila nafsi inauoga ispokua ujasiri ndio unatupa nguvu tu!
 
We jamaa Hili swali lako nimecheka Sana.

Hivi katika Hali ya kawaida unaweza kumshika chatu mkia hivyo alafu akakuangalia tu? Labda chatu wa kuchora kwenye gazeti.
Kuna wa Vietnam nilikuwa naangalia video zao wakiwinda nyoka nilijifunza kitu.

Kwa wale wenzetu wana vitu vichache ambavyo havipo kwenye list ya chakula.

Mimi na wewe tunamuona huyo Chatu kama nyoka, wale jamaa wanamuona kama mboga.
 
Huu uzi wanaume wa Dar Hawaonekani

Sijui niwatag?!!
 
Chatu si naskia ni mpole sana?tofauti na wakina cobra?na hata kukimbia haliwezi zito sana
Yeah chatu ni mpole Sana,ila Kama unapita na mishe zako na yeye awe ameshiba, lakini ukitaka kumuua hapo hapatoshi.

Kama Pana miti panachakaa.
 
Mmemuua na Hilo panga ambalo hata mpini halina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…