kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,280
- 4,579
A huge python
wapi huko?!
Dodoma au Singida?Kanda ya kati
DodomaDodoma au Singida?
LimemezaLilikua limemeza nini
Ni mrefu mno
We jamaa Hili swali lako nimecheka Sana.Ni mrefu mno
Mmemwua?
Kama bado wasilianeni na mali asili wakamhifadhi huko awe kivutio
Hata hao jamaa hawajamuua wenyewe. Mziki wa chatu mkubwa Kama huyo kumuua siyo mchezo.Wanaume wa dar hapo wangevunjavunja mihogo kwa kutimua mbio. Kesho ungeenda kuangalia shamba ungelidhani tembo kapita
Chatu Mnaweza Kumshika Mkia na Asiwafanye chochote Kama Ametoka Kula Akavimbiwa Huwa hana la KufanyaWe jamaa Hili swali lako nimecheka Sana.
Hivi katika Hali ya kawaida unaweza kumshika chatu mkia hivyo alafu akakuangalia tu? Labda chatu wa kuchora kwenye gazeti.