Nimekutana na hiki kisa

Nimekutana na hiki kisa

Bado wana nafasi ya kufanya upandikizaji wa mimba ilimradi tu huyo mwanamke ana kizazi. Aombe mayai kwa ndugu yake ili apandikiziwe tumboni mwake.
 
Bado wana nafasi ya kufanya upandikizaji wa mimba ilimradi tu huyo mwanamke ana kizazi. Aombe mayai kwa ndugu yake ili apandikiziwe tumboni mwake.
Yeye ni wamwisho kwao, dada zake wawili wana watoto wa kiume na wameshafikia menopause.
 
Dah...
Kila jambo lina sababu yake chini ya jua.
Hapo ni kumshukuru Mungu tu kwa kila jambo na kuangalia option ya ku-adopt watoto hata 20 kutoka vituo vya watoto yatima.

Na kwa kuwa kisheria mtoto yatima anakuwa wako moja kwa moja, wakichukua vile vitoto vidogo chini ya mwaka mmoja, wakavilea mpaka kuwa watu wazima, itakuwa jambp la heri pia.

Kwa kuwa haikuwa ndan ya uwezo wao kupata watoto, wasilazimishe na kuanza kukufuru.
Wazo nzuri hata mbele za Mungu unapata malipo makubwa ila damu yako ya adoption ipo tofauti saanaa utaelewa hili utakapo kuwa na mtoto wako in sh Allah
 
Early menopause ilimkuta akiwa 32. Inawatokea wengi.
Duuuh!!! Kumbe sayansi ya wanawake ni complex kiasi hiki!! Kuna watu wanaanza na 32!!! Na je ikiwahi hivyo ndo inakuwa moja Kwa moja ama inaweza kuwa reversed kwa njia za kitabibu?
 
Duuuh!!! Kumbe sayansi ya wanawake ni complex kiasi hiki!! Kuna watu wanaanza na 32!!! Na je ikiwahi hivyo ndo inakuwa moja Kwa moja ama inaweza kuwa reversed kwa njia za kitabibu?
Ndiyo nitolee hiyoo
 
Yeye ni wamwisho kwao, dada zake wawili wana watoto wa kiume na wameshafikia menopause.
Sky Eclat huyo ndugu naweza msaidia huyo low sperm count ili ziongezeke pia huyo wa premenopausal ili asikome Hadi jamaaa arekebishe hizo sperm zake. Chamsingi NIJUE UKWELI TATIZO LA KUZALIWA ,MAGONJWA YA ZINAA AU
 
Ni tatizo la kuzaliwa
 
Mh! Nini kinaongelewa hapa...,acha tu nirudi home naona jibapa limekolea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom