Nimekutana na hiki kisa

Nimekutana na hiki kisa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Mama wa kijana amenipa hii issue ya kijana wake. Akiwa University alikutana na a girl of his dreams. Walimaliza shule pamoja na kuanza professional jobs. Walifunga ndoa na kuanza maisha. Miaka mitano kwenye ndoa hakuna mtoto. Waliamua kuanza kwenda hospitali kwa uchunguzi zaidi. Hospitali waliambiwa mwanaume ana low sperm count.

Walirudi nyumbani kuanza mchakato wa IVF. Wakiwa wanajikusanya kupata hela mwanamke alinaza early menopause.

Mama anajilaumu kuwa ni makosa yake. Nilimwambia ni kazi ya Mungu. Alinijibu wewe hufahamu tu. Mwanangu alipokuwa na miezi tisa aliugua sana na alilazwa ICU. Alipewa madawa mengi sana kuimarisha uhai wake. Ninahisi madawa yale yamemfanya amekua na hali aliyonayo.

Ninajaribu kufikiria ni wengi wenye matatizo haya. Mnahisi kuna matibabu mliyopitia mkiwa wadogo, huenda yakawa na impact ukubwani.
 
Dah...
Kila jambo lina sababu yake chini ya jua.
Hapo ni kumshukuru Mungu tu kwa kila jambo na kuangalia option ya ku-adopt watoto hata 20 kutoka vituo vya watoto yatima.

Na kwa kuwa kisheria mtoto yatima anakuwa wako moja kwa moja, wakichukua vile vitoto vidogo chini ya mwaka mmoja, wakavilea mpaka kuwa watu wazima, itakuwa jambp la heri pia.

Kwa kuwa haikuwa ndan ya uwezo wao kupata watoto, wasilazimishe na kuanza kukufuru.
 
Haya mambo usikie tu bt inafactor nyingi SNA ila sidhan kama inauhusiano na mtoto Wa miez 6 kwa tz most kwa nilichokiona factors nyingi ni stress,uzito ulipitiliza na kazi za nguvu hizi,,vyakula somo refu kwa machache ni hayo at least huyu analow wengine wana azoospermia yan complete absence ya sperms
 
Causes of a low sperm count
In many cases, it's not obvious what causes a low sperm count.
Sometimes problems with sperm count and quality are associated with:
  • a hormone imbalance, such as hypogonadism (reduced hormone production)
  • a genetic problem such as Klinefelter syndrome
  • having had undescended testicles as a baby
  • a structural problem – for example, the tubes that carry sperm being damaged and blocked by illness or injury, or being absent from birth
  • a genital infection such as chlamydia, gonorrhoea or prostatitis(infection of the prostate gland)
  • varicoceles (enlarged veins in the testicles)
  • previous surgery to the testicles or hernia repairs
  • the testicles becoming overheated
  • excessive alcohol consumption, smoking and using drugs such as marijuana or cocaine
  • certain medications, including testosterone replacement therapy, long-term anabolic steroid use, cancer medications (chemotherapy), some antibiotics and some antidepressants
 
Shukran mkuu
 
Msikatae mimba kama mlimwaga DNA zenu, tena wengine kwa kufuru wanasema nilipanga kuzaa nikiwa kwenye ndoa .
 
Mama wa kijana amenipa hii issue ya kijana wake. Akiwa University alikutana na a girl of his dreams. Walimaliza shule pamoja na kuanza professional jobs. Walifunga ndoa na kuanza maisha. Miaka mitano kwenye ndoa hakuna mtoto. Waliamua kuanza kwenda hospitali kwa uchunguzi zaidi. Hospitali waliambiwa mwanaume ana low sperm count.

Walirudi nyumbani kuanza mchakato wa IVF. Wakiwa wanajikusanya kupata hela mwanamke alinaza early menopause.

Mama anajilaumu kuwa ni makosa yake. Nilimwambia ni kazi ya Mungu. Alinijibu wewe hufahamu tu. Mwanangu alipokuwa na miezi tisa aliugua sana na alilazwa ICU. Alipewa madawa mengi sana kuimarisha uhai wake. Ninahisi madawa yale yamemfanya amekua na hali aliyonayo.

Ninajaribu kufikiria ni wengi wenye matatizo haya. Mnahisi kuna matibabu mliyopitia mkiwa wadogo, huenda yakawa na impact ukubwani.
Duuuh!! Huyu jamaa kaoa ana miaka 40?? Na mke pia akiwa huko kwenye 40s? Maana miaka 5 tu kwenye ndoa tayari menopause!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom