Nimekutana na hii nikacheka sana

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Changudoa alienda hospitali kwa ajili ya clinic ya ujauzito. Mojawapo ya swali alilokutana nalo hili hapa na jibu zuuuuri alikua nalo.....
DOCTOR: mimba hii kakupa nani?
CHANGUDOA: hivi we ukila maharage utajua ni harage lipi lililokufanya ujambe!
........
.........kwi kwi kwi
... ... ,,,,,,,
,,,,,,,,,,,,
,,,,,,,,,,,,,,,

Kwa herini
 
Walev 2 waliokota kioo. Mlev wa kwanza. Hii sura si ngeni ila jina sikumbuki. Mlev wa 2 akachkua kioo kuangalia akasema. We chizi kwel, c mm hyu unajidai hunijui!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom