Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
Alikuwa ni GF wangu mwishoni mwa miaka ya tisini, akaenda kusoma Chuo cha Uhazili Tabora, alifanikiwa kupata kazi huko, akakata mawasiliano. Wiki iliyopita nikiwa wizara fulani kikazi nikakutana naye, kumbe alihamishiwa hapo mwanzoni mwa mwaka huu..............Akaniomba tukutane kwa mazungumzo.
Nimekutana naye jioni hii akanisimulia kwamba aliolewa na kuzaa mtoto mmoja wa kiume, lakini baada ya miaka mitano ya ndoa aliamua kudai talaka kutokana na mateso ya mume...................Sasa anadai eti alikuwa ananitafuta sana, na lengo lake alitaka turudiane, kwani sasa amejua kwamba alikosea........... nilipomjulisha kwamba nimewowa.............akaniambia yuko tayari awe mke wa pili................ masihara eh.....!