Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,911
Mimi nimekuelewa!Hata siwezi kueleza nikaeleweka.
Nimecheka mpaka nimepaliwa, daaah 🤣kuna mmoja nilimmiliki kwa miezi michache tukawa kama mapacha kwenye masuala ya matamanio yetu.... Tuliyafanya mapenzi kama chakula ikafika kipindi wote tukiamka asubuh miguu inalia kama bawaba kisa uroto umepungua
Kama sio Mungu kututenganisha tungefia kitandani mbwa sisi🤣🤣🤣🤣
Mzee mwenzangu, hebu sema, nini huwa kinakutamanisha 😆?Punguza utani kwa sisi wazee wa jf . Kama upo serious njoo inbox 😎😎
Umerudi na fujo zako, hii ni ID ya 11 nakuhesabia. Ifike mahali Max aipige ban IP address yako!
Acha tu hii kitu ndio inafanya dunia inakua tamMimi nimekuelewa!
Nimecheka mpaka nimepaliwa, daaah 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 3610551
Zinakuwaga tamu sana hizo, miili tu ndiyo inachoka ila viungo bado vinataka 🤭
Njoo uniambie nini huwa kinakutamanisha mpare wetu!Inasikitisha sana
Tafuta hela kijana uache kula kwa macho kama hivi!Ukweli hela itafutwe, pasi kuwa na hela wanawake tutaishia waona malaya kwasababu ya chaka la kujifichoa ugonjwa wa ukosefu wa hela
View attachment 3610552
zipo zingine 50 kila moja ipo kwenye device yake Umerudi na fujo zako, hii ni ID ya 11 nakuhesabia. Ifike mahali Max aipige ban IP address yako!
Ukweli mie sinazo, nakula kwa macho kama hivi ninapata inspiration ya kuzitafuta..Tafuta hela kijana uache kula kwa macho kama hivi!