Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 2,418
- 3,612
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.
Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata
Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri
Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee