Nimekuruhusu...

Nimekuruhusu...

Vannele

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
287
Reaction score
90
Nikiwa kwenye saluni moja humu mjini, likatokea timbwili kati ya wadada wawili marafiki... walikuwa wanagombea bwana... Baada ya kuwaachanisha ikabidi niulize kulikoni marafiki kushare bwana? Ikabidi mmoja afunguke...'Mi nilimwambia shoga yangu, bwanaako ananitaka... Akaniambia we kama vp mchetue tu...mchukue tu nimekuruhusu...' Mie hoi
 
Dada muungwana kweli huyo......nimempenda......
 
Sasa km kweli alimruhusu kwa moyo mkunjufu mbona alikuwa anamtafuta na visu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom