Nimekunywa PEPSI ndani ina kifuniko

Nimekunywa PEPSI ndani ina kifuniko

Nimekata shauri,sitokunywa soda tena.Mashitaka natapeleka kwenu walaji.
Pole sana hii haifanyiki hapa bongo. Labda huko kwenu ulaya au amerika. Huku kwetu inzi anaingia kwenye kinywaji anaokolewa kwa kupewa kidole kisha anafyonzwa na kutupwa kule, sembuse hicho kifuniko cha soda?:glasses-nerdy:
 
pole sana mkuu fanya upate tiba haraka kabla yakuchukua hatua yoyote
 
Pole sana mkuu kuna watu waliozaliwa na mjusi watakuja kubosha au kukejel.ilinikuta kwenye soda ya fanta aijatupa hiyo chupa kila mgeni akija lazima nimuoneshe
 
Wabongo hulka yetu ni ubishi, ligi siiwezi ndugu yangu

mkuu sio ligi ni uhalisia kesi yeyote inaongozwa na ushahidi, swala hapo sio tu kukuta kizibo kwenye chupa ya soda, swala la kwanza kujiuliza kwa kunywa soda yenye kizibo mnywaji amepata madhara gani.... pili tutadhibitisha vipi kama hicho kizibo kilikuwemo ndani ya soda kabla haijanywewa...
Na kama angesema au kutoa taarifa kwa wahusika kabla hajaifungua na kuinywa angeambulia kupewa tu kifuta jasho cha usumbufu aliopata (nominal damage) maana hakuna madhara ambayo angekua kayapata.
so kwa hili la huyu jamaa halitaki kukurupuka bali inabidi ajiridhishe mambo mengi sana kwa kuanzia akapimwe kama kapata madhara yeyote kwa kunywa soda hiyo
 
Wakuu tumbo linanisokota muda huun, nimeagiza soda ya pepsi ile naanza kunywa tu nikahisi kama kuna radha ya chuma(isiyo ya kawaida), ilipobaki nusu ikabidi niangalie Daah, nimeona kuna kifuniko ndani yaani mtu alikunywa akatumbukiza kifuniko ndani, ilipofika kiwandani hawakuangaika kusafisha, wakajaza tena ikaja sokoni.

Naomba ushauri wakuu tumbo lanisokota muda huu.
Wakuu tumbo linanisokota muda huu, nimeagiza soda ya pepsi ile naanza kunywa tu nikahisi kama kuna radha ya chuma(isiyo ya kawaida), ilipobaki nusu ikabidi niangalie Daah, nimeona kuna kifuniko ndani yaani mtu alikunywa akatumbukiza kifuniko ndani, ilipofika kiwandani hawakuangaika kusafisha, wakajaza tena ikaja sokoni.

Naomba ushauri wakuu tumbo lanisokota muda huu.
Mjomba Mkude, pole sana. Pamoja na ushauri mzuri walioutoa ndugu wengine.. Mimi ninataka kukushauri kisheria na unaweza kulipwa fidia ya mamilioni ya fedha.

Kilichofanywa na kiwanda cha Pepsi kisheria kinaitwa Negligence. Ambapo unaweza kufungua kesi mahakamani na ukalipwa vizuri sana.

Kama una mwanasheria wako, mwambie akufafanulie kesi maarufu ya Negligence ya mwaka 1932 kati ya DONOUGUE vs STEVENSON
 
Mkuu KAUMZA,hilo la wanasheria linawezekana kwenu nyinyi lakini sisi walalahoi tunamwachia Mungu. Nashukuru Mungu sijapata madhara ya muda mfupi,kama amadhara yatatokea miaka ya mbele Mungu ndo atajua.
Asante kwa ushauri wako, wakati mwingine tutawakimbilia hao kina Pita Kibatari au Tindu Lissu.
 
Usiache haki yako ipotee. Na hilo litakuwa funzo kwa makampuni mengine. Wajifunze kutokuchezea afya za watu
 
Mkuu kweli hilo ni " tort" la "Negligence" but ni ngumu kufungua shauri km ulivyosema ushahidi ndio issue vilevile kapata madhara gani....Ni ngumu kushtaki na kushinda
 
nami nilishawai kushuhudia mtu pembeni yangu akinywa pepsi hiyohiyo ndani ina uchafu wenye ukubwa wa kidole, jamaa alikuwa ajajua mpaka nilivyomshtua,
 
Mjomba Mkude, pole sana. Pamoja na ushauri mzuri walioutoa ndugu wengine.. Mimi ninataka kukushauri kisheria na unaweza kulipwa fidia ya mamilioni ya fedha.

Kilichofanywa na kiwanda cha Pepsi kisheria kinaitwa Negligence. Ambapo unaweza kufungua kesi mahakamani na ukalipwa vizuri sana.

Kama una mwanasheria wako, mwambie akufafanulie kesi maarufu ya Negligence ya mwaka 1932 kati ya DONOUGUE vs STEVENSON

Mkuu hiyo case ya donougue ni sawa kabisa ina apply kwenye situation ya jamaa..lakini umesahau kwamba hiyo case we umeisoma tu darasani kwenye tort je application yake bongo ni possible...umesahau jurisprudence ya law of tort kwa mahakama za ungeleza imedevelop sana compered to ours...otherwise toa case law from our jurisdiction ambayo imedeal na that kind of negligence...
Kumbuka law of tort ni received law so bado inakua taratibu taratibu kwenye jurisprudence za mahakama zetu...na hii inakwenda mbali zaidi maana inahitajika uchunguzi wa wataalamu kwanza..na ushahidi wakujitosheleza...
Ila kwa kutamka tu it sounds simple sana..ila in practice ni tofauti
 
Back
Top Bottom