Mjomba Mkude
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 287
- 119
Wakuu tumbo linanisokota muda huu, nimeagiza soda ya pepsi ile naanza kunywa tu nikahisi kama kuna radha ya chuma(isiyo ya kawaida), ilipobaki nusu ikabidi niangalie Daah, nimeona kuna kifuniko ndani yaani mtu alikunywa akatumbukiza kifuniko ndani, ilipofika kiwandani hawakuangaika kusafisha, wakajaza tena ikaja sokoni.
Naomba ushauri wakuu tumbo lanisokota muda huu.
Naomba ushauri wakuu tumbo lanisokota muda huu.