Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Mfanyakaz hewaNimeku miss Jakaya. Hakika nimeku miss. Enzi zako naweza kutoa hisia zangu popote na sisongwisongwi na makandokando leo hii nikieleza hisia zangu kesho nanyea debe.
Nimekumiss Jakaya.
Hata ajira ya mkate wangu wa siku nimeipata enzi zako Jakaya hakika naku miss.
Hahaha!Mfanyakaz hewa
Tafadhali fika central kesho saa tisa mchana kwaajili ya mahojiano...Nimeku miss Jakaya. Hakika nimeku miss. Enzi zako naweza kutoa hisia zangu popote na sisongwisongwi na makandokando leo hii nikieleza hisia zangu kesho nanyea debe.
Nimekumiss Jakaya.
Hata ajira ya mkate wangu wa siku nimeipata enzi zako Jakaya hakika naku miss.
Teh... Tehe... Teh... Tehe...Tafadhali fika central kesho saa tisa mchana kwaajili ya mahojiano...
Alisema mtanikumbukaNimeku miss Jakaya. Hakika nimeku miss. Enzi zako naweza kutoa hisia zangu popote na sisongwisongwi na makandokando leo hii nikieleza hisia zangu kesho nanyea debe.
Nimekumiss Jakaya.
Hata ajira ya mkate wangu wa siku nimeipata enzi zako Jakaya hakika naku miss.
Na kuzidi kupunguza size ya kiuno cha suruali zenuEndelea kum miss, sisi tunafanya kazi
Kwa tuhuma za kuingia "mikatabafeki"Tafadhali fika central kesho saa tisa mchana kwaajili ya mahojiano...
Hapa ndio kwanza safari imeanzaHata mi nime mu miss smile lake la wakati wote na wakati wake watu waliachia kutoa maoni yao na kukosolewa. Indeed jk aliruhusu democrasia Uhuru wa speech na tutazidi kumkumbuka alikua na kifua cha Ku handle mihemko. Long live Jk