Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,174
Nimeku miss Jakaya. Hakika nimeku miss. Enzi zako naweza kutoa hisia zangu popote na sisongwisongwi na makandokando leo hii nikieleza hisia zangu kesho nanyea debe.
Nimekumiss Jakaya.
Hata ajira ya mkate wangu wa siku nimeipata enzi zako Jakaya hakika naku miss.
Nimekumiss Jakaya.
Hata ajira ya mkate wangu wa siku nimeipata enzi zako Jakaya hakika naku miss.