ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,456
- 67,408
Duuuhhhh naona kabisa nyara za selekale zinapotea kizembe.Bado hamjajenga bana... Tenda ishapitishwa?
Cheleweni tu naenda kuygawa madini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuaminije sasa?Sidhani babu, sina![]()
Huo mwaka walininyima ingia la kwanza kisa nilishindwa kunja mkono kufikia sikio jingine, ikabidi nianzie vidudu na kidumu changu cha maji pamoja na mfagio wangu mkubwa
Amini amini nakwambia huhuhuhuNitakuaminije sasa?
Babu ana hoja nzito. Ni ngumu sana kuamini bila kuona.Amini amini nakwambia huhuhuhu
Jifunze kuamini bila kuona wala kutenda.
Hapatikani..mnato sasa ameshakuwa mnafu mkuu
Baba kabisa huyuuuuMiaka iyo ya 94 nilikuwa najiandaa ingia vidudu kumbe mkuu we ulikuwa bize na mnato!!! Aise
Muda wa kumwandaa unasababisha vipi mnato mkuu??Vitu vingi huusika
Size yako
Size yake
Mda wa kumuandaa
Binafsi wengi nawaona mnato![]()
Hahahaaaaaaaaaa naweza bado..
hahahaha
Mh...😈😈😈
Haya...Mpira unakaribia kuisha, Simba anaongoza 1 kwa sifuri ya Yanga/Al Ahly.
Kwanini nini we mzee?Hivi kwanini lakini?