St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,231
- Thread starter
- #121
Shida ni kuwa huwezi kumtambua alipofungiwa. Ni kubahatisha tu. Ila acha nisikate tamaa, nina imani ipo siku ntakutana naye tena..
Shida ni kuwa huwezi kumtambua alipofungiwa. Ni kubahatisha tu. Ila acha nisikate tamaa, nina imani ipo siku ntakutana naye tena..
Oooh kumbe yupo kwako naomba kuja kumuona?
Oooh kumbe yupo kwako naomba kuja kumuona?
Sio mbaya. Damu haiendi mbali..
Ha ha ha mie nakuja kumuona tu hayo mengne yatajulikana nikifika to ruhusa tu
Njoo umuone.. Ila usimguseeHa ha ha mie nakuja kumuona tu hayo mengne yatajulikana nikifika to ruhusa tu
Ngoja niende jukwaa la wakubwa nikaweke video ya mnato kwa wasiomjua wamuone
Hiyo siti inatakiwa timing. Ukienda vibaya utakutana na "horror movie"!Kuwahi siti ya mbele ni vizuri pia
Nenda tu mkuu mengine yatajulikana hukohuko. Mwanzo mzuri huu. Mwenzio nilipewa sharti la milioni kumi. We sharti la kutomgusa tu unaanza kulalamika..!!Ha ha ha ha mashart yameanza kutoka mapema namna hii??
Nikupe namba unapoweza kumkuta mnato.Mara ya mwisho nilikutana nawe mwaka 1994. Toka kipindi hicho mnato nimekutafuta katika mabara yote ya dunia hii, sikubahatika kakutana nawe. Mnato ulikua umebebwa na binti aitwae Victoria. Ulikuwa mnato kweli, mwanzo hadi mwisho. Lakini tokea wakati huo sijakutana nawe tenaa. Kila ninapodhani ntakutana nawe naishia kujikuta nimekua mvuvi. Mnato Umeenda wapi mnato wanguuu. Cha kushangaza nimekutafuta mpaka kwa watoto wa shule, lakini haukuwepo mnato wangu. Siku moja nikiwa safarini pale Unyankindi Singida nilikubahatisha bila kutegemea. Japo ulikuwa ni usiku mmoja nilikufurahia mnato. Lakini toka mwaka ule wa 2012 sijabahatika tena kukutana nawe. Naomba nisaidiwe kumpata tena mnato. Ikishindikana basi hata nielezwe kilichomsibu mnato mpaka amepotea namna hii. Au ni mimi tu ndio sikutani naye,na wenzangu mnakutana naye...
Haya ndio maneno sasa twende kazi mkuu..
Ah wapi huko kote nimeingia kumtafuta sijamkuta mnato wangu..
Nakupm namba ila usije ukajulisha kwamba umeipata wapi. Pambana kivyako.Haya ndio maneno sasa twende kazi mkuu..
Ha ha ha ha mzee huon kapotea ghafla?Nenda tu mkuu mengine yatajulikana hukohuko. Mwanzo mzuri huu. Mwenzio nilipewa sharti la milioni kumi. We sharti la kutomgusa tu unaanza kulalamika..!!
Mkuu ondoa shaka. Mimi ni bingwa wa kujibu maswali hayo..Nakupm namba ila usije ukajulisha kwamba umeipata wapi. Pambana kivyako.
Sent using Jamii Forums mobile app
TobaaNgoja niende jukwaa la wakubwa nikaweke video ya mnato kwa wasiomjua wamuone
Nenda kapige chabo. Wadau wanalalamika eti amekauka sana mnato wangu..