Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,380
- 88,735
Hahaaa tena fasihi ikisindikizwa na kiswahili fasaha..
Nipo karibu na Goba njia nne. Tunaweza onana ukanisaidia kumpata..
@aggyjay unatakiwa utembee kifua mbereeee
Aminia mgugu.. Ikipigwa mbiu Tz nzima mnato wapange mstari nakaa mbeleee@aggyjay unatakiwa utembee kifua mbereeee
Maendeleo hayana chama
Hakika wewe ni mzalendo.Aminia mgugu.. Ikipigwa mbiu Tz nzima mnato wapange mstari nakaa mbeleee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mawindo yako sio ya mnato hahahanaomba nisiungane nawe kumtamka mnato hapa, naweza kupoteza fursa niko mawindoni mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niongee na mkuu na wewe pia uzungushiwe ukuta
mnato ni majaaliwa, siwezi kumsimanga mtu kwa kutokuwa karibu na mnato.
Kama amepigwa ngumi ya mgongo@aggyjay unatakiwa utembee kifua mbereeee
Maendeleo hayana chama
Hhaahaa..baada ya ukuta?Ngoja niongee na mkuu na wewe pia uzungushiwe ukuta
Maendeleo hayana chama
Hahahaaaa