hebu kumbuka hili shairi:
...
Sikiri mimi maskini, uvivu wangu nyumbani, ukiwa huu njiani, nakufa hapa kwanini?
...
Sadiki sasa ashiba, chakula kingi kwa baba,,, [daah, hebu endelea kama unakumbuka, mm nimesahau...]
1. Mandawa na manenge
2. Mzee tola
3. Mfalme mwenye masikio kama ya punda
4. Sizitaki mbichi hizi..
5. Safari yenye mkosi.
6. Siku ya gulio Katerero.
Daah! Lakin hii haichekeshi wadau. Hebu na wewe kumbukia enzi zako za primary..