Nimekumbuka kwetu

Kaduguda

JF-Expert Member
Aug 1, 2008
724
641
View attachment 241653
Mihogo ya kuchemsha

MAWESE.jpg
Mawese

View attachment 241654
Migebuka

View attachment 241655
Magimbi

View attachment 241657
Ngorogojo

View attachment 241656
Home sweet home!!
 
Nyie watu wa kigoma Hivyo vyakula ndo vinawafanya muwe wasaliti.?
 
Nyie watu wa kigoma Hivyo vyakula ndo vinawafanya muwe wasaliti.?

Taratibu Jaslaws sio kila mtu wa Kigoma ni msaliti. Kama ambavyo sio kila mtu wa Kigoma ni Muha! Wako wengi walio makini na wenye misimamo ya kueleweka sio wale wanaotaka kuwa kama Ayatollah ndani ya nchi ya Tanganyika!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom