Nimekumbuka haya ya YORANDA..

Nimekumbuka haya ya YORANDA..

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Enzi zile mambo ya kujitupia kwa "Juliana", BioAct, BenQ, NINO, TOMATO (kwa wale wa QUarters kama line polisi au JWTZ, Waalimu nk ni nunulie shati kama lako ukienda mjini..) ...imenikumbusha mafuta ya kupaka SHANTI, "RAYS", SNOW CREAM,YORANDA, kuchoma nyewele kwa kigae cha chungu (kwa kina dada), ambo ya Rangi mbili (Tetracycline).Viatu vya chacha, suzana, bora nk (wapo tuliovaa "Mwaka wa Mtoto")...kufuli acha zile VIP zinazopanda kifuani ikikatika kiungo, zilikuwa boxers zenyebango 007 au chapa mamba..saluni chini ya mwembe..fundi cherehani Mzaire..

Thanks Mzee RUKSA..
 
Yolanda
Ladygay
Rewards
Butone
Revola
super Ghee
Voil
Tanbond
Cafenol
 
Hii teknolojia ilikuwa nishai sana, yaani mtu anacheza zake mpira ghafla kitu inatokeza shingoni,,shabash

Ilikuwa MADE IN TAIWAN...feki kuliko CHINA!!!
 
Umitashumta moja hivi hii kitu ilisababisha nishike nafasi ya pili pamoja na uchovu wangu, hahahaha!
 
Umitashumta moja hivi hii kitu ilisababisha nishike nafasi ya pili pamoja na uchovu wangu, hahahaha!

umitashumta tena? Umenikumbusha zamani sana, kulikuwa na mashindano ya mashirika ya umma, mashindano ya bendi bora etc
 
Da enzi hizo ubabe ndo ulikuwa fashion ya maisha... ukienda disko unaporwa demu na wasela wenye nguvu zao chini wakiwa wamepiga ndulla yenye chuma mbele!!!
 
Enzi za supu ya mapupu,bandama na mikwasukwasu kabla kwenda kuwaona Tankati almasi.
 
Those were the days of our lives.

VIP kiboko usipime ilimkosesha ubingwa "sprinter" wetu maana ilikatika akiwa katikati ya mbio. Mara kitu hichoo kifuani utafikiri 'bra'.

Enzi za kuvaa 'Dont Touch' my shoes
 
Enzi zile mambo ya kujitupia kwa "Juliana", BioAct, BenQ, NINO, TOMATO (kwa wale wa QUarters kama line polisi au JWTZ, Waalimu nk ni nunulie shati kama lako ukienda mjini..) ...imenikumbusha mafuta ya kupaka SHANTI, "RAYS", SNOW CREAM,YORANDA, kuchoma nyewele kwa kigae cha chungu (kwa kina dada), ambo ya Rangi mbili (Tetracycline).Viatu vya chacha, suzana, bora nk (wapo tuliovaa "Mwaka wa Mtoto")...kufuli acha zile VIP zinazopanda kifuani ikikatika kiungo, zilikuwa boxers zenyebango 007 au chapa mamba..saluni chini ya mwembe..fundi cherehani Mzaire..

Thanks Mzee RUKSA..
Duu mkuu wangu umenikumbusha mbali kweli! enzi za suruali za mchelemchele, vitu - moka (mocasin), Kulikuwa na sabuni za Hisoap/Hiwhite / Hiblue na premium za kiwanda fulani kule Mbeya, sijui kiliishia wapi kiwanda kile? raba za DH (Double Happiness),vibati au ngozi (jeans) codrai , travolta we acha tu.
 
Duu mkuu wangu unikumbusha mbali kweli! enzi za suruali za mchelemchele, vitu - moka (mocasin), Kulikuwa na sabuni za Hisoap/Hiwhite / Hiblue na premium za kiwanda fulani kule Mbeya, sijui kiliishia wapi kiwanda kile? raba za DH (Double Happiness),vibati au ngozi (jeans) codrai , travolta we acha tu.

Teh Teh..... Dodoma Hakuna!!!
Yaani jamani maisha ya wakati huo was fine sana no ufisadi!!
 
Hii teknolojia ilikuwa nishai sana, yaani mtu anacheza zake mpira ghafla kitu inatokeza shingoni,,shabash

yani nimecheka mpaka mwisho ilikuwa sooo bro wangu zilimpa tabu mno!wow u made ma day
 
Kung Fu shuz
viatu bora
cha cha cha
sido glocks
superga
eva gitano
zikko
Jackson
yosso
 
mi nakumbukia raba za loso teheee siku ya kwanza nililala nazo kitandani weeeee
 
Back
Top Bottom