Nimekula vyakula vya kishirikina

Nimekukubali jembe kula 5 hukohuko uliko.
Hawa wahuni sio wa kuwaogopa mafala tu.
 
Ukitaka kujua maana kwanini unaambiwa ulete kuku halafu inachijwa unapewa dawa ilekuku inaingia jikoni kubanikwa we hata kucha huambulii hahaa kekundu wajinga ndio waliwao
 
Mara nyingi wanasema wahindi upenda kuwapa wafanya kazi wao nazi za kishirikina kuwapumbaza na ukikataa hawakupendi. Sijui km huwa kuna
ushirikiana wa waziwazi vile?

Sent from my Infinix X559 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huwaga inakuwaje unakuta kimfuko kina shilingi shilingi hizi coin?
Juzi tu hapa najirudia zangu Home nikakiokota njiani
Mbona supu ya mama mudi na mbuzi nusu ilinikoma..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…