Mayai ya ushirikina si yanakuaga viza mkuuLast week nilikuwa Dodoma kwa wiki nzima. Nikahamasishwa na mshikaji wangu nifikie kwake, anafamilia yake hapo Dom.
Asubui najidamka kwenye mizunguko yangu nakuta wenyeji wangu Kama Kuna kitu wanadiscuss kwa mashaka mashaka hivi. Kumbe shemeji yangu wakati anataka kufanya usafi nje akakuta mlangoni kuna mayai sita na Nazi ambayo haijavunjwa na kikaratasi kilichoandikwa kiarabu. Wanaogopa hata kuvishika. Kuuliza vipi? Naambiwa tangu jana yake wanaona mauza mauza tu kwani walikuta madirishani sijui kumeandikwa maandishi gani. Wakamwita mchungaji gani sjui akayafuta na kupiga maombi ya nguvu. Ila chaajabu asubui wamekuta mayai.
Wakataka wapige simu kwa huyo mchungaji, nikamwambia waache kwanza. Nikayacheki Yale mayai nikaona ni mazima tena ya kienyeji. Nikawaambia tu sijala mayai ya kienyeji siku nyingi naona haya yatanifaa. Hawakunielewa kabisa.
Nikamwomba Shem ayakaange ile wanaita Spanish ila asiweke chumvi nyingi. Akaruka futi Mia kukataa. Nikasema isiwe shida. Jiko? Hili hapa. Mzee nikaingia studio nikatoa kitu cha Spanish kinanukia hatari. Jamani karibuni. Wanaogopa. Mshikaji wangu ananiambia oya umekula ushirikina, uko kwenye mizunguko ukiona mawengewenge nipigie ili tumwite mchungaji. Nikawa nawacheka kwa zereeeu. Nikayagonga yote. Nikasepa. Kila mda jamaa yangu ananicall nadhani alikuwa anatrace naendeleaje. Siku ikapita.
Asubuhi Tena mauza uza. Hamadi njiwa wawili wapo mlangoni wamefungwa vitambaa vyekundu miguuni. Nikaitwa kushuhudia na kuulizwa Leo tunafanyaje. Jamani si njiwa Hawa? Ndio. Naombeni kisu kikali. Wananitolea macho. Kama kawaida nikazama kicheni nokatoka na kisu. Nikawachinja na kuwapasua vizuri. Nikauliza Kama Kuna oven, nikaambiwa ipo. Nikaingia Tena studio kuproduce kitu cha nguvu. Nikawabanika fresh. Wananukia hatari. Ugomvi ukawa kwa watoto wanataka nyama wazazi wao wanawakataza. Nikashauri watoto watengenezewe kuku wa kwenye friji ili kuleta amani. Siku ikapita.
Asubuhi nikaamshwa Tena na shemeji kwa makelele. Nikatabasamu nikajua Leo Kama sio kuku wa kienyeji basi ni mbuzi au hata kitimoto. Hamadi. Hamna kitu. Nikasonya. Shemu anafuraha kwamba nimewasaidia kuwakomesha hao washirikina.
Imepita wiki Sasa. Mpaka naandika hapa hakuna mauza uza yaliyowapata.
My Take: Hao wanaoweka is either wanataka tu kucheza na akili yako uishi kwa hofu na kukutoa kwenye focus yako ya maisha au nao wametapeliwa na waganga njaa mjini na hivo kufanywa wa wajinga ndiwo waliwawo.
Ushauri: Ukikuta Nazi imevunjwa kaungie wali au mboga, mayai wewe kaanga chemsha, njiwa sijui kuku chinja. Ilimradi tu imani yako kwa Mungu isiwe haba.
Unanikumbusha mjomba wangu alikuwa akiskia vitu kama hivyo anavila vyote mpaka leo yupo tu,uoga mbaya sanaLast week nilikuwa Dodoma kwa wiki nzima. Nikahamasishwa na mshikaji wangu nifikie kwake, anafamilia yake hapo Dom.

Hongera mkuu kwa kupata lishe ya nguvu kutokana na ujinga wa wanaokuzunguka.Last week nilikuwa Dodoma kwa wiki nzima. Nikahamasishwa na mshikaji wangu nifikie kwake, anafamilia yake hapo Dom.

Nakumbuka Niko primary maeneo ya raskazone tanga tulikuwa tunawahi kwenda shule kwa ajil ya kuokota nazi njian.home walinisifia napenda shule ndio maana nadamka asubuhi na mapema kumbe mwenzao nina kibarua cha kuokota Nazi zilizovunjwa njia panda.[emoji1378][emoji1378][emoji1378]UTOTO RAHA SANA[emoji2][emoji2]
Nikiwa mdogo siku moja naenda shule ile kufika njia panda nikakuta hela kibao coins, nikazikisanya zote nikatia kwenye begi nilipofika shule nikazihesabu zilikua 2500, alikua ni hela nyingi sana kwangu niliporudi nyumban nikamsimulia mama akanimind sana akasema zirudishe ulipozitoa nilichofanya ni kuzunguka nyuma kama dakika 5 nikarudi nikamwambia nishazitupa akasema usirudie kuokota vitu njia panda, basi ikawa kila nikienda shule nachukua 50 naenda kutamba, nilikua bosi shuleni kwa muda mrefu sana