😄😄Ukishaamini Mungu anakulinda, unaweza kufanya ujinga wowote.
Hahahaha we jamaa unapambana na mungu siku nyingiUkishaamini Mungu anakulinda, unaweza kufanya ujinga wowote.
Alichokifanya ulikuwa ni ujinga Huwezi kushindana na adui Yako mwenye nguvu Pasipo kujipanga na kuwa na mbinu Bora za kumshinda adui huyo
Inasikitisha sana mwanadiplomasia kupotezwa na hakuna anayehoji kuanzia Serikali aliyoitumikia mpaka chama chakeAlikuwa mpumbavu kupindukia, mfumo alioshiriki kuutengeneza na kuutetea umemtsfuna masikini ya Mungu.
Ujasiri wa nzi matokeo yake huwa ni kifo chake mwenyewe.
Alipaswa kutambua kwamba Jamii ya watanzania ni jamii ya watu waoga Wakati ukiwa unafanya harakati watakupa bichwa Kwa kukushangilia tu ila ukikamatwa Wataishia kupost #Free pole pole After one month imeisha hiyo 😄Inasikitisha sana mwanadiplomasia kupotezwa na hakuna anayehoji..
Inasikitisha na inaumiza...Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!
Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!
Nakuombea huko ulipo tukuone tena.
AMINA
Mnoooo yeye na magu ndio chanzo Cha hizi siasa zilizopo now nchiniMi simuhurumii kabisa yule jamaa,alishiriki maujinga mengi sana kipindi cha jiwe..
Kabisa mkuu..amewahi kumuita lissu kibaraka wa Mabeberu hapa nchini..alikuwa ni kiongozi mjivuni sana kila anapo pata airtime.Mnoooo yeye na magu ndio chanzo Cha hizi siasa zilizopo now nchini
Sipambani na Mungu, kwa sababu hayupo.Hahahaha we jamaa unapambana na mungu siku nyingi
Hapana,ni swala la muda tu utaelewa kwamba ni wataalamu sanaTeam magu wengi wali vimba miili na sio akili.
movement na maamuzi yao mengi ni mepesi kwa ngazi ya uwanja wa vita.
Hakuna suala la muda, crew yake nyingi ime tembezwa mbele au kupigwa rungu na kubakia vibogoyo.Hapana,ni swala la muda tu utaelewa kwamba ni wataalamu sana
Muda ni jibu zuri sanaHakuna suala la muda, crew yake nyingi ime tembezwa mbele au kupigwa rungu na kubakia vibogoyo.