Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 261
- 199
Nimekuja na salamu za upendo kutoka kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye anatambua mchango mkubwa wa taasisi za dini katika kudumisha amani, maadili mema na mshikamano wa kitaifa-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Mpanda-Katavi
🗓️Machi 15, 2026
—————————————
Amesema hayo wakati akitoa salamu katika Ibada iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mpanda Mjini, Dayosisi ya Ziwa Tanganyika, iliyoongozwa na Askofu Imani Ahobokile Chibona.