Ungeweka wazi ili tuone ni ngekewa au ni juhudi tu
Bila picha haya maelezo hutendei hakiUmbo kali na chura ya maana.
Sema kweli ni bahati mkuu maandalizi mengi sio kigezoBinafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.
Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.
Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja
Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi bado mkuu ila nimeshuhudia kuona kwa wengine na kujifunza nimegundua ni bahati tu na mm nasubili bahatiUngeweka wazi ili tuone ni ngekewa au ni juhudi tu
Bahati inakuja kama una Pesa.Mimi bado mkuu ila nimeshuhudia kuona kwa wengine na kujifunza nimegundua ni bahati tu na mm nasubili bahati
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha ,ngoja nikwambie kitu pesa ninayo na wanaojifanya waolewaji wapo lakini wazugaji tu na wengi wanakuja kwa sababu ya mkwanjaBahati inakuja kama una Pesa.
Una bahati...wenzio walipewa reference kama hiyo wakawowa ndoa tena ya kanisani ....miaka 10 ndoa ikaota mbawaBinafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.
Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.
Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja
Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi we huna bahatiHahahahaha ,ngoja nikwambie kitu pesa ninayo na wanaojifanya waolewaji wapo lakini wazugaji tu na wengi wanakuja kwa sababu ya mkwanja
Sent using Jamii Forums mobile app