Jadili kwa kutumia mifano ohalisi huku ukirejelea Riwaya MbiliFasihi hailengi ikilenga inabomoa
Hahahahaha daaah ...ayaa banaaaROMA:Madereva tuna leseni lakini makonda mnatupa loss
STAMINA:mbona sisi makonda hatuna vyeti lakini tunaaminiwa na boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii akili ni kubwa sana...labda anapigwwa ili ashtue wa mbele hahaha...@masoudkipanya: Ng'ombe wa nyuma huchapwa Kwa sababu tu yuko karibu na mchungaji lakini anayechelewesha msafara ni Ng'ombe wa mbele.
m.twitter.com/masoudki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu inabidi waende mbali zaid wampime haja kubwa maana si kwa maneno hayohhhahah kipanya iko siku atapimwa haja ndogo na yeye !
Na kweeeli...