sweetdada
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 517
- 169
mpigie namba yake ni 0754 777 777
tehteteh hapa utakutana live na RA hahaha sijui utajieleza nini
utaundiwa tume na mafisadi
kila la heri mkaka ukimpata utujuze ee
mpigie namba yake ni 0754 777 777
mpigie namba yake ni 0754 777 777
I like her,mbaya tu kanipita umri na kila kitu
Hii habari njema sana.
Mheshimiwa Mjepu,kidogo hapa umetuacha njia panda,una maanisha ni mambo ya "Caster Semenya"-SA nini?Kwani wewe ni mwanaume au mwanamke? Kama mwanaume sahau, huyu ni mwenzetu kavaa jezi za timu pinzani.
Mheshimiwa Mjepu,kidogo hapa umetuacha njia panda,una maanisha ni mambo ya "Caster Semenya"-SA nini?
Kama hiyo lakini case yake ni more of will than biology.
mpigie namba yake ni 0754 777 777