Nimekuchagua Wewe...!!!

mimi nakumbuka siku nimepewa taraka na mume wangu
 
Dah, nakumbuka graduation ya form6 ndio ulifungua burudani. Wakati huo Sean Paul, na nyimbo kama Mabinti wa kitanga, Jirushe, Friday hii, nk zilikua hot sana.
 
Sure..the thing was so scintillating..i wish also you could be there..
congratulations dear brother an i wish you an everlasting love :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: between you two.
 
Yaani karoho kangu kamefanya mwemweremwemwereee umenikumbusha siku ya harusi yangu. Daaa ahsante mkuu.
 
Dah, nakumbuka graduation ya form6 ndio ulifungua burudani. Wakati huo Sean Paul, na nyimbo kama Mabinti wa kitanga, Jirushe, Friday hii, nk zilikua hot sana.
ebana nkuu umenifanya ni reminisce flava flani za zamani sanaa
 
Mtu anataka kuibiwa hadi Miss anasahau kuficha hasira zake kwa Wakaka!

sijasahau zipo pale pale if some one ni mzuri ana kind kwa nini nisimwambie..... we Mlaleo ni mchokozi sana toka huko... nakuchukia wewe sana sana,,,,,
 
sijasahau zipo pale pale if some one ni mzuri ana kind kwa nini nisimwambie..... we Mlaleo ni mchokozi sana toka huko... nakuchukia wewe sana sana,,,,,

Nakugongea like kwa kunipa sifa niipendayo ya kuchukiwa... i don't know why napenda kuchukiwa... tukiishi nawe tutaelewana sana... Japo ndio vile tena una historia ya majanga majanga... ila naweza komaa nawe tu...
 
Nakumbuka ulikua wimbo mzuri na mpaka sasa ni wimbo mzuri
 
mie nikiusikia machozi hunilengalenga
sijui kwa nini
 
Nakumbuka enzi hizo nikituma sana barua Ashira Girls...kalikuwa kadedication ketu. Hivi kwanza wa Ashira mpo humu?? Hahaaa
 
Nakugongea like kwa kunipa sifa niipendayo ya kuchukiwa... i don't know why napenda kuchukiwa... tukiishi nawe tutaelewana sana... Japo ndio vile tena una historia ya majanga majanga... ila naweza komaa nawe tu...
ha ha ha ha Mlaleo yani umekomaaa aya bwana,.......
okey nakuchukia ili ufurahi....
 
Huo wimbo unanikumbusha wakati nikiwa A level, tukizamia harusi kwenye ukumbi wa shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…