Nimerekebisha mkuuUjaeleweka mkuu
Nimecheka balaa🤣🤣AliNiliomba laki Tano 5 nikajua mia Tano nikachoka
Sasa tutaishije bila kuchakata mkuuUnatoa 100k unapata na UKIMWI hii dunia hii
Piga puchu utakufa na waya mzee.Sasa tutaishije bila kuchakata mkuu
Hawa watu tunapenda kiwasaidia, tatizo wanavuta Sana.Nimecheka balaa🤣🤣
Ampe laki halafu aachane nae? Kwanini ampe kama hamtakiMkuu mpe hiyo laki halafu achana nae. Huyo amekukubali kwa ajili ya kumaliza matatizo yake. Hana mapenzi yeyote kwako. Akikuuliza mbona kimya mueleze ukweli wote.
Salute sana broMwaume mwenzangu.Usijenge kibanda kwa mwanamke. Akupe mbusussu mpe chake mpaka utakapo muitaji tena.
Umeona hawa watu ni pasua sanaHawa watu tunapenda kiwasaidia, tatizo wanavuta Sana.
Hata mil ningempa tatizo baadhi wanabana miguu na pesa wanaitaka
Malejenti hawatongozagi huyu mwamba ni mgeni kada hii😂😂😂Kama alikuelewa lilikuwa ni suala la kumfuata na kumkula
Au mpe hata nusu yake then achana nae usimle.Mkuu mpe hiyo laki halafu achana nae. Huyo amekukubali kwa ajili ya kumaliza matatizo yake. Hana mapenzi yeyote kwako. Akikuuliza mbona kimya mueleze ukweli wote.
Kuna mmoja anakula vi 10k vyangu. Namlia mingo tu....Umeona hawa watu ni pasua sana
Ulishatoa kama 10k ngapi mkuuKuna mmoja anakula vi 10k vyangu. Namlia mingo tu....
Nilipokea ushauri humu JF ,, kwamba tusiwakaukie Wala kuwa block.
Huyu akitaka 50k nakwepa, nasema kabisa Sina akidai kidogo atakula.. siku akijichanganya ndio bas ana jifanya donster
Za kutosha tu....Ulishatoa kama 10k ngapi mkuu
Kosa ni kuanza kutongoza.Kama alikuelewa lilikuwa ni suala la kumfuata na kumkula