Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki

Mkuu mpe hiyo laki halafu achana nae. Huyo amekukubali kwa ajili ya kumaliza matatizo yake. Hana mapenzi yeyote kwako. Akikuuliza mbona kimya mueleze ukweli wote.
Ampe laki halafu aachane nae? Kwanini ampe kama hamtaki
 
Kuna mmoja anakula vi 10k vyangu. Namlia mingo tu....


Nilipokea ushauri humu JF ,, kwamba tusiwakaukie Wala kuwa block.


Huyu akitaka 50k nakwepa, nasema kabisa Sina akidai kidogo atakula.. siku akijichanganya ndio bas ana jifanya donster
Ulishatoa kama 10k ngapi mkuu
 
Back
Top Bottom