nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
nina waswas sana na uwezo wa watanzania katika kufikiri. hivi kipya kigeni alichofanya mh. rais? tuwe na subira tuone matokeo chanya baada ya ziara hizi...
Haijalishi anaongozwa na nani, Wananchi tuna macho na tunaona, tunamjua Magufuli tangu akiwa Waziri, kila Wizara aliyopelekwa aling'ara kwa ufanisi wa kazi hivyo hata kwenye uraisi pia haiwezi kuwa tofauti na ndio maana wengi wetu tukamchagua!
Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili amesimamishwa kazi ili aeleze kwa nini mashine tulizozinunua kwa fedha zetu za kodi hazifanya kazi!
Yaani Magufuli amekaa serikalini miaka 20 hajui matatizo ya hospitali zetu? Mbona yapo wazi kila mtu anayajua hata mtoto mdogo? Nadhani huu sio muda wa Maigizo ni muda wa kuwa serious,!Raisi Magufuli leo nimemkubali kwamba ni mtu intelligent sana na hii ni kutokana na uamuzi wake wa leo wa kwenda kutembelea Muhimbili uamuzi aliouchukuwa baada ya kwenda kumtembelea kigogo Bi Bisimba aliyelazwa Hospitali ya Aga Khan ambayo ni Hospitali binafsi sasa najaribu kufikiria kilichokuwa kinaendelea kichwani kwa Magufuli ni kwamba kwa hali ya kawaida huyu Bi. Bisimba alipaswa akalazwe Muhimbili Hospitali ya umma, kwa nini akalazwe hospitali binafsi hilo swali alijiuliza Raisi Magufuli, ndiyo maana akaamua kuunganisha safari na kwenda Muhimbili kutaka kujua ni kwa nini?
Ni mtu intelligent tu ndiyo anayeweza kuoanisha matukio namna hii, kwa mtu wa kawaida kama Mbowe anaweza tu kuponda na kufikiri ni kwa ajili ya show lkn swali linakuja kama ni show kwa nini baada ya Aga Khan iwe Muhimbili na siyo Sokoni Kariakoo au kwenye Dala dala?
Raisi Magufuli leo nimemkubali kwamba ni mtu intelligent sana na hii ni kutokana na uamuzi wake wa leo wa kwenda kutembelea Muhimbili uamuzi aliouchukuwa baada ya kwenda kumtembelea kigogo Bi Bisimba aliyelazwa Hospitali ya Aga Khan ambayo ni Hospitali binafsi sasa najaribu kufikiria kilichokuwa kinaendelea kichwani kwa Magufuli ni kwamba kwa hali ya kawaida huyu Bi. Bisimba alipaswa akalazwe Muhimbili Hospitali ya umma, kwa nini akalazwe hospitali binafsi hilo swali alijiuliza Raisi Magufuli, ndiyo maana akaamua kuunganisha safari na kwenda Muhimbili kutaka kujua ni kwa nini?
Ni mtu intelligent tu ndiyo anayeweza kuoanisha matukio namna hii, kwa mtu wa kawaida kama Mbowe anaweza tu kuponda na kufikiri ni kwa ajili ya show lkn swali linakuja kama ni show kwa nini baada ya Aga Khan iwe Muhimbili na siyo Sokoni Kariakoo au kwenye Dala dala?
umeleta hoja nzuri sana ila kitendo cha kumshambulia mbowe , ni sawa na kutia chumvi kwenye chairaisi magufuli leo nimemkubali kwamba ni mtu intelligent sana na hii ni kutokana na uamuzi wake wa leo wa kwenda kutembelea muhimbili uamuzi aliouchukuwa baada ya kwenda kumtembelea kigogo bi bisimba aliyelazwa hospitali ya aga khan ambayo ni hospitali binafsi sasa najaribu kufikiria kilichokuwa kinaendelea kichwani kwa magufuli ni kwamba kwa hali ya kawaida huyu bi. Bisimba alipaswa akalazwe muhimbili hospitali ya umma, kwa nini akalazwe hospitali binafsi hilo swali alijiuliza raisi magufuli, ndiyo maana akaamua kuunganisha safari na kwenda muhimbili kutaka kujua ni kwa nini?
ni mtu intelligent tu ndiyo anayeweza kuoanisha matukio namna hii, kwa mtu wa kawaida kama mbowe anaweza tu kuponda na kufikiri ni kwa ajili ya show lkn swali linakuja kama ni show kwa nini baada ya aga khan iwe muhimbili na siyo sokoni kariakoo au kwenye dala dala?
Kutembelaa wagonjwa ni vizuri sana hata Mungu ametuagiza kufanya, hivyo, mimi naona atachoka kwani nchi yetu ni kubwa na uongozi ni hekima, busara na sayansi, Hivyo aunde timu binafsi za kumshauri na utekelezaji kuhusu Uchumu, Usalama, Afya, Elimu, Kilimo, Vyote hivi viwe na watu kutoka nje na wachache ndani ya nchi, Nchi za kuchukua hawa wataalam Israel,USA, German, Japani na Singapore.
Akitengeneza timu ya namna hii baada ya miaka miwili tutashudia Tz ikipaa kiuchumi.
Ni kwa nini usimfananishe Kikwete na Mangufuli??Raisi Magufuli leo nimemkubali kwamba ni mtu intelligent sana na hii ni kutokana na uamuzi wake wa leo wa kwenda kutembelea Muhimbili uamuzi aliouchukuwa baada ya kwenda kumtembelea kigogo Bi Bisimba aliyelazwa Hospitali ya Aga Khan ambayo ni Hospitali binafsi sasa najaribu kufikiria kilichokuwa kinaendelea kichwani kwa Magufuli ni kwamba kwa hali ya kawaida huyu Bi. Bisimba alipaswa akalazwe Muhimbili Hospitali ya umma, kwa nini akalazwe hospitali binafsi hilo swali alijiuliza Raisi Magufuli, ndiyo maana akaamua kuunganisha safari na kwenda Muhimbili kutaka kujua ni kwa nini?
Ni mtu intelligent tu ndiyo anayeweza kuoanisha matukio namna hii, kwa mtu wa kawaida kama Mbowe anaweza tu kuponda na kufikiri ni kwa ajili ya show lkn swali linakuja kama ni show kwa nini baada ya Aga Khan iwe Muhimbili na siyo Sokoni Kariakoo au kwenye Dala dala?
Yaani Magufuli amekaa serikalini miaka 20 hajui matatizo ya hospitali zetu? Mbona yapo wazi kila mtu anayajua hata mtoto mdogo? Nadhani huu sio muda wa Maigizo ni muda wa kuwa serious,!
Yaani Magufuli amekaa serikalini miaka 20 hajui matatizo ya hospitali zetu? Mbona yapo wazi kila mtu anayajua hata mtoto mdogo? Nadhani huu sio muda wa Maigizo ni muda wa kuwa serious,!
Rais Magufuli leo nimemkubali kwamba ni mtu intelligent sana na hii ni kutokana na uamuzi wake wa leo wa kwenda kutembelea Muhimbili uamuzi aliouchukuwa baada ya kwenda kumtembelea kigogo Bi Bisimba aliyelazwa Hospitali ya Aga Khan ambayo ni Hospitali binafsi sasa najaribu kufikiria kilichokuwa kinaendelea kichwani kwa Magufuli ni kwamba kwa hali ya kawaida huyu Bi. Bisimba alipaswa akalazwe Muhimbili Hospitali ya umma, kwanini akalazwe hospitali binafsi hilo swali alijiuliza Rais Magufuli, ndiyo maana akaamua kuunganisha safari na kwenda Muhimbili kutaka kujua ni kwanini?
Ni mtu intelligent tu ndiyo anayeweza kuoanisha matukio namna hii, kwa mtu wa kawaida kama Mbowe anaweza tu kuponda na kufikiri ni kwa ajili ya show lkn swali linakuja kama ni show kwanini baada ya Aga Khan iwe Muhimbili na siyo Sokoni Kariakoo au kwenye Daladala?