Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,934
Mbona kuna swali hutaki kulijibu... Huyo Shemeji yako ameshamla Mdogo wako.. Yaani ameshamtomba? maake naona unatuzingua tu hapa kurekebisha mti uliokauka unyoke wakati ulishchelewa... Pia Kuna mdau amekuuliza kwa nini Nyie Waarabu hamkubali kutombwa na Watu weusi? Yaani hata huyo mdogo wako akitongozwa na Mkurya utakuja na thread kama hii tena... Kwa nini?Mwenyezi mungu ata mnusuru kama alivyo tunusuru sisi dada zake, Alhamdulillah hakunaalie olewa na mimba kwentu wala alie aibisha familia mpaka sasa na Inshallah watoto wetu wawe hivyo hivyo....
Ivi kweli hilo swali kama amelala nae au la unadhani atanambia hata kama? mimi ni kama mama kwake na sijui kwa wengine lakini hawezi kuniambia,niyo nimesha jibu kua kua huwezi kumsemea mtu inategemea maridhiano yao wenyewe lakini wapo walio olewa na kila rangi na kila taifa,haijalishi uwe mkurya au yoyote yule, na bwana wewe unaandika maneno mengine matusi sio vizuri ebu futa kwa hisani yako..Mbona kuna swali hutaki kulijibu... Huyo Shemeji yako ameshamla Mdogo wako.. Yaani ameshamtomba? maake naona unatuzingua tu hapa kurekebisha mti uliokauka unyoke wakati ulishchelewa... Pia Kuna mdau amekuuliza kwa nini Nyie Waarabu hamkubali kutombwa na Watu weusi? Yaani hata huyo mdogo wako akitongozwa na Mkurya utakuja na thread kama hii tena... Kwa nini?
Nakula nae ila sio kumtia kwenye shimo..Kitu kizuri kula na ndugu yako bhana.!
Shosti upo,za kupotea?Muhimu upendo mengine yatajipanga badae
Salama mamy .. waendeleaje ?Shosti upo,za kupotea?
Mkuu umeongea mpaka umepitiliza,lakini its okay mie sio muhindi...Hawa ni wahidi nimeanglia Avator ya huyu mdada hii ni tabia ya Wahindi... Hata wachaga hawafanyi huo Ujinga na kuosma kwao koote .. Hakuna kabila yenye huo ujinga kama siyo ile Kabila ya Watanzania wenye asili ya Kieshia...
Alhamdulillah sio mbaya sana kama juzi na jana naanza kuzowea maneno ya ndugu jamaa na marafiki kwa ujumla..za wewe huko uliko na raha zako nasikia ume win BIKO lol ebu tugawane shosti...lol..Salama mamy .. waendeleaje ?
Biko huwa sichezi .... binadamu wameumbwa kusema wala usijali fanya yale muhimu tu basi waongee mpaka wabinukeAlhamdulillah sio mbaya sana kama juzi na jana naanza kuzowea maneno ya ndugu jamaa na marafiki kwa ujumla..za wewe huko uliko na raha zako nasikia ume win BIKO lol ebu tugawane shosti...lol..
hakuna cha ajabu chini ya jua,ila mengine hua hatukubali nayo....Familia yenu ya AJABU SANA
Ahsante love kwakunipa moyo..Biko huwa sichezi .... binadamu wameumbwa kusema wala usijali fanya yale muhimu tu basi waongee mpaka wabinuke
Karibu tenaAhsante love kwakunipa moyo..
Mkuu umekua mkali sana please pole pole tunaelimishana na kusaidia mawazo,sio vizuri kubwambia hivyo mwenzio ivoo..Toa uongo wako hapa kanda ya ziwa kabila gani wanaoana kama wanyama kindugu ndugu hivyo usituaingizie mkuu.
Naomba umweleze amuwache kama anataka aolewe naye. Mbona amekuwa king'ang'anizi tangu jana yeye kutetea point yake kuwa asiolewe. Kama ashakata shauri kwa nini anatuhangaisha. NIMPENDENANI kwa hili umeniangusha rafikiBiko huwa sichezi .... binadamu wameumbwa kusema wala usijali fanya yale muhimu tu basi waongee mpaka wabinuke
Atakuwa ameonaNaomba umweleze amuwache kama anataka aolewe naye. Mbona amekuwa king'ang'anizi tangu jana yeye kutetea point yake kuwa asiolewe. Kama ashakata shauri kwa nini anatuhangaisha. NIMPENDENANI kwa hili umeniangusha rafiki
Pole kwakukuangusha urumrawi,kwenye maisha daima huwezi kumfurahisha mtu daima ipo siku lazima utamuudhi ndio maisha, na nnacho kikataa mimi hata kama ingekua wewe naamini ungetaka pia, mume wangu wanaowana ndugu sisi kwetu the same sasa mimi kujihami sitaki itoke ivi kweli mfano watoto imefika time wanataka kuowana inakua kwa mama ndugu wa damu na kwa baba ndugu wa damu unadhani ni sawa hivyo?Naomba umweleze amuwache kama anataka aolewe naye. Mbona amekuwa king'ang'anizi tangu jana yeye kutetea point yake kuwa asiolewe. Kama ashakata shauri kwa nini anatuhangaisha. NIMPENDENANI kwa hili umeniangusha rafiki
Huu sasa ni ubinafsi rafiki. Kwa nini asiruhusiwe ila kuanzia mwanzo mkawafanya watoto wenu wajue kuwa ni ndugu wa damu kwa pande mbili. Mimi nina wajambo wengi sana ukoo mzima na wanaishi wote sehemu moja ila kuna babu alioa mdogo wa bibi yangu. Mpaka leo hata wajukuu tunajiona hawa ni wajomba wa karibu kuliko wengine. Sababu kuu ni bibi mdogo kuolewa na shemeji wa bibi mkubwa. Siafiki sababu zako na kama familia hiyo ni wema na pia kama shemeji yako umemfahamu tangu utoto itakuwa ni salama kwa mdogo wako ambaye ni kama mtoto wako.Pole kwakukuangusha urumrawi,kwenye maisha daima huwezi kumfurahisha mtu daima ipo siku lazima utamuudhi ndio maisha, na nnacho kikataa mimi hata kama ingekua wewe naamini ungetaka pia, mume wangu wanaowana ndugu sisi kwetu the same sasa mimi kujihami sitaki itoke ivi kweli mfano watoto imefika time wanataka kuowana inakua kwa mama ndugu wa damu na kwa baba ndugu wa damu unadhani ni sawa hivyo?
mimi siafiki najua utaniona wa ajabu sana au utasema why familia zenu wamefanya? kwangu mimi nnakua na mtazamo tofauti na wala kama wao wamefanya kosa haimanishi ni mimi nifanye kosa apana,huenda bado hujanielewa lakini mimi nakuelewa wewe ulokua hujanielewa..