Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help

nikuulize kitu? Mwanaume akimfumania mke wake anaweza kurudiana nae?

so hiyo ndio imesababisha?..naomba kujua una hakika gani na hilo coz hawa binadamu wakiwa na pressure/tamaa chini ya vitovu vyao wanaongea lolote baya kwa wake zao watimize tamaa zao....kuna uhakika wowote ulionao wa kudhibitisha hilo?..(kutoka kwa mke)...!..nakusoma kama unasubiria divorce kamili ili ujimwage zaidi...(unahic kuna lililo jema mbeleni kama ikifanikiwa)...mtu anaeingia kwenye uhusiano bila kujali lengo la uhusiano huyo namuona kama desperate vile, unajaribu jaribu!
 
to be honest sina uhakika kama alimfumania mkewe ila anaishi mwenyewe ana mwaka sasa
aliniambia hamtaki tena
 
Since nimeona ni ngumu kupata the perfect man to stay with for serias relationship. Nimedecide kuwa na mwanaume mmoja hivi kutoana upweke na kukidhi tamaa zetu za kimwili.
Ni mume wa mtu but yupo available....(divorced partialy)
ni rafiki yangu kwa muda mrefu ni mzuri sana. To me its better this way
hatuna commitment towards each other tupo tu kupeana raha.
Sijali kuhusu future cause future huwa siioni naishia tu kuumia
nimekosea?

nadhani umesahau kusali my dear, it realy helps bila kukata tamaa! am sure your rib upo smwhere its for u to hold a bit longer! tatiso umeshakolea kwenye hicho kiazi cha mbeya ulicho nacho, na hutaki kukubali kuwa ndiyo OBSTACLE!
 
nikuulize kitu? Mwanaume akimfumania mke wake anaweza kurudiana nae?

wanaweza kurudiana for the sake of watoto na pia usisikilize sana uongo wa wanaume ati nilimfumania mke wangu ukute hiyo ni gear ya kukupata rafiki yangu alidanganyika hivyo hivyo kuja kugundua mke alikuwa mzuri na mwaminifu na yeye kuachwa kwenye mataa baada ya kutumika. tafuta wa kwako achana na waume za watu! kwanza unajitafutia laana wewe na kizazi chako kama huyo mke wake na watoto wana masononeko moyoni ujue huna baraka yoyote.
 
huwezi jua yupi wa kufungulia na yupi sio rafiki its soo hard to know
That's why you need to be careful before opening.., angalia kwanza chungulia hata dirishani kwanza ni nani anayebisha hodi., utajua tu kama mtu anatamaa ya muda mfupi, atakuonyesha papara.., na kama anakupenda kweli utajua anakupendea nini.., it takes time to know someone, therefore before accepting someone as your lover, make them your friend.., no harm having friends..., soon or later utajua who is for real and who is a pretender.
 
Haya dada uamuzi ni wako, ila kifupi yaani unahitaji maombi nenda katubu, maana unaumia sana sana. Waweza kuwa naye ila ogopa laana ya watoto wale waishio kwa dagaa huku wewe watesa na Mzee kijana (Fake divorcee) Serena Hotel.
 
Nina Ndugu yangu ,alichelewa kurudi nyumbani mumewe akamfukuza na mbaya zaidi nyumba wamejenga wote,ila before that alikuwa akimtishia kumuua na kumpiga kwa mawivu,wakikutana na watoto anambembeleza arudi ,huku watu wengine anawaambia hampendi ,nachotaka kukwambia kuwa makini sana,anachokwambia inawezekana sio kweli,sali sana sana,utapata wa kwako,yanini wewe upate malaana ya watoto.
 
Since nimeona ni ngumu kupata the perfect man to stay with for serias relationship. Nimedecide kuwa na mwanaume mmoja hivi kutoana upweke na kukidhi tamaa zetu za kimwili.
Ni mume wa mtu but yupo available....(divorced partialy)
ni rafiki yangu kwa muda mrefu ni mzuri sana. To me its better this way
hatuna commitment towards each other tupo tu kupeana raha.
Sijali kuhusu future cause future huwa siioni naishia tu kuumia
nimekosea?

I see huyu ni sumu, kwa nini uhangaike na ready made?
 
Unaishi katika style ya "friends with benefits"

Unamaana anakata kiu kwa kumegwa hapo hapo analichuna buzi kwa kujipatia kipato
Mabuzi yenye wake zao yanajua kuhonga sana ndo maana shosti kaamua kujipumnzisha
 
to be honest sina uhakika kama alimfumania mkewe ila anaishi mwenyewe ana mwaka sasa
aliniambia hamtaki tena
imekula kwako,mkewe yupo mkoa mmoja nae?au yuko mkoa mwingine/nje ya nchi.wanaume waongo sana hajamfumania wala nini
 
Since nimeona ni ngumu kupata the perfect man to stay with for serias relationship. Nimedecide kuwa na mwanaume mmoja hivi kutoana upweke na kukidhi tamaa zetu za kimwili.
Ni mume wa mtu but yupo available....(divorced partialy)
ni rafiki yangu kwa muda mrefu ni mzuri sana. To me its better this way
hatuna commitment towards each other tupo tu kupeana raha.
Sijali kuhusu future cause future huwa siioni naishia tu kuumia

nimekosea?
Una Moyo mwenzangu mie mume wamtu apana kwanza wivu nilikua nao hata kama wametengana lakini still wamwenzio,kama ningekua mie nisinge kata tamaa mapema kwani wapo wengi wasio kua na dhiki za roho,muhimu ni kuvuta subra..
 
Since nimeona ni ngumu kupata the perfect man to stay with for serias relationship. Nimedecide kuwa na mwanaume mmoja hivi kutoana upweke na kukidhi tamaa zetu za kimwili.
Ni mume wa mtu but yupo available....(divorced partialy)
ni rafiki yangu kwa muda mrefu ni mzuri sana. To me its better this way
hatuna commitment towards each other tupo tu kupeana raha.
Sijali kuhusu future cause future huwa siioni naishia tu kuumia
nimekosea?

Uzinzi, kama unaHOFU ya Mungu acha mara moja hujui ulitendalo chakukusaia na ujitunze mwanamke mwenye akili ni yule mwenye Maarifa ya Mungu na anasali atajilea kwakufuata adili la Mungu na huyo ndio mwanamke mrembo.
 
Back
Top Bottom