sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,418
Depends na mtu mwenyewe.., watu tupo tofauti, ila kama alimfumania na anaumia kuwa nae mshauri atafute divorce au waachane asiendelee kuumia (after all ni rafiki yako), pia mweleze kabisa what you have between the two of you hutegemei kwamba kutakuwa na future (sio aache akitegemea kupata mwingine, wewe kumbe wewe haupo tayari).nikuulize kitu? Mwanaume akimfumania mke wake anaweza kurudiana nae?
Anyway relationship kama hii lazima wote muwe on the same page..., take one step after another (na kama yeye anao watoto huwezi kujua labda atakuwa anatafuta mama wa kulea watoto.., all these needs to be communicated).