machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 1,889
- 3,951
Potezea
Niliwahi kukosea hivohivo Azam ila sikurudishiwa zaidi ya kuunganishwa miezi husika.
my sisterMchepuko au?
Kwa kweli hyo hela ni nyingi kwa sasaDaaa, yaani upo serious kabisa mkuu???? Mpk nimecheka,
kwahio Ni gawio la bandari au?
Kote jamaa hawakurudisha Luku tuliendelea kutumia vocha nikaunga bando la mwezi iliyobaki nikawa nawaunga vifurushi wanangu then wananilipaMkuu ulifanyaje sasa au uliamua kusamehe?
Habari nimewapigia wamenisaidia kwa kuniambia nilipie hela upya 25000 alafu ile 250000 itarudishwa baada ya weekKuna amount ikizidi unarudishiwa ,mimi nilishawahi kukosea kulipia Azam ,nilitumia app kwasababu unaweza ukasave transactions sasa nikaja kuingiza password mara mbili ikakata hela mara mbili ,nikapiga simu azam wakasema hela hiyo ni ndogo ingekuwa zaidi ya laki(sikumbuki vizuri) wangenirudishia ,ila kwa mtoa mada ABBA ni 250k atarudishiwa hiy 225k yake.
Kuna mmoja mwezi wa 6 wakala nilienda kuweka umeme wa 5000 ye aka weka wa 50000 .afu ana nambia nimpe 45k yake nka kataa nka mwambia apambane na huduma kwa wateja sijui wali ishia wapi ila hadi leo na unit zangu za 50kNikiwaga na hela nyingi kwenye simu huwa nakuwa makini sana kujiunga vifurushi na kununua umeme/kulipia king'amuzi...yaan makini mnoo
isharudishwa helaHamia kwa huyo uliemlipia Hadi miezi iishe
isharudishwa hela
WamerudishaBwashee kikienda kwa mganga hakirudi
Kwani week imeshafika? Si hapo juu umesema umeambiwa usubiri hadi weekHABARI NJEMA HELA YANGU IMERUDISHWA, MBARIKIWE SANA KWA MAONI NA USHAURI.
ndio nimeshangaa wamerudisha kabla ya hiyo weekKwani week imeshafika? Si hapo juu umesema umeambiwa usubiri hadi week
Kuwa makini madam,kuzidisha 0 inagharimu sana kwenye miamalaHABARI NJEMA HELA YANGU IMERUDISHWA, MBARIKIWE SANA KWA MAONI NA USHAURI.
Saaana nitakuwa makini mnoKuwa makini madam,kuzidisha 0 inagharimu sana kwenye miamala