Nimekosea kulipia King'amuzi

Niliwahi kukosea hivohivo Azam ila sikurudishiwa zaidi ya kuunganishwa miezi husika.

Kuna amount ikizidi unarudishiwa ,mimi nilishawahi kukosea kulipia Azam ,nilitumia app kwasababu unaweza ukasave transactions sasa nikaja kuingiza password mara mbili ikakata hela mara mbili ,nikapiga simu azam wakasema hela hiyo ni ndogo ingekuwa zaidi ya laki(sikumbuki vizuri) wangenirudishia ,ila kwa mtoa mada ABBA ni 250k atarudishiwa hiy 225k yake.
 
Niliwahi kukosea,kibaya zile machine inafanya kazi automatic ukilipa ina kalkulate kila kitu on spot,ya kwamba umelipia miezi kadhaa...! (Umeshajilipia miezi kadhaa)
 
Kuna amount ikizidi unarudishiwa ,mimi nilishawahi kukosea kulipia Azam ,nilitumia app kwasababu unaweza ukasave transactions sasa nikaja kuingiza password mara mbili ikakata hela mara mbili ,nikapiga simu azam wakasema hela hiyo ni ndogo ingekuwa zaidi ya laki(sikumbuki vizuri) wangenirudishia ,ila kwa mtoa mada ABBA ni 250k atarudishiwa hiy 225k yake.
Habari nimewapigia wamenisaidia kwa kuniambia nilipie hela upya 25000 alafu ile 250000 itarudishwa baada ya week
 
Nikiwaga na hela nyingi kwenye simu huwa nakuwa makini sana kujiunga vifurushi na kununua umeme/kulipia king'amuzi...yaan makini mnoo
Kuna mmoja mwezi wa 6 wakala nilienda kuweka umeme wa 5000 ye aka weka wa 50000 .afu ana nambia nimpe 45k yake nka kataa nka mwambia apambane na huduma kwa wateja sijui wali ishia wapi ila hadi leo na unit zangu za 50k
 
We tulia tu ucheki tv ,unauhakika wakuangalia ligi ya bongo tAngu INAANZa Hadi msimu unAISHA BILA kulipia tena
 
Back
Top Bottom