Wapendwa wa jamii forum
Yaani nimepata stress nimekosea email wakati nikifanya usajili wa kuomba degree..Sasa Kuna namba moja TU nimesahau nikajua nipo right mpaka naweka password.
Nikawa tayari nimekuwa register..Sasa email ambayo nimeweka Hata sija isign up,..kwahiyo nikijaribu ku create account mpya kwa kutumia hiyo email niliyojisajili kwenye maombi ya chuo inakataa..Sasa wakati Naomba Award verification number najibiwa Nimetumia kwenye email.. Nisaidieni nifanye nini ndugu zangu...